Recent content by mwaminio

  1. M

    JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Hata Mimi Kwa kweli ni imara mnooo 6 yrs now toleo la kwanza 10i
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Amina, inapendeza sana. HATA Mimi nakuona huku jf, lkn nakutafuta ndugu yngu ktk Ufalme wa Mbinguni, Una group la NENO tofauti na JF?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Nakutafuta ndugu Rabbon,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua codes za SIRI zilizoandikwa katika kitabu kiitwacho Biblia/ Neno la Mungu

    UKWELI mtupu,, MUNGU Baba akubariki sana ndugu Rabbon. Nimefurahi sana Kwa Uzi huu mtamu sana Rohoni, wa mwilini ni ngumu kukuelewa....hili NENO limenifanya Hadi nikafungua account humu ili niweze ku reply endelea kutupatia NENO vile Roho wa MUNGU atakavyokuongoza ndugu. Hapa tupo vizazi viwili...
Back
Top Bottom