Recent content by mwambyetete

  1. mwambyetete

    Plugs za Subaru Forester XT

    Asantee saaana Mkuu,,,gari iliwekwa diesel bahati mbaya ndio chanzo Cha kubadili plug baada ya hapo kupata plugs original imekuwa shida
  2. mwambyetete

    Plugs za Subaru Forester XT

    Wapendwa Kheri ya mwaka Mpya. Naomba msaada Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata plugs original za Subaru Forester XT ya 2009. Nilipatwa na changamoto iliyopelekea kutoa plugs za kuja na gari ! Niko mbeya mjini
  3. mwambyetete

    2012 Nissan Xtrail Vs 2010 Subaru Forester

    Siku hiz ndugu yangu kuitunza turbo sio Kaz. Kwenye turbo Kuna pipe anayopeleka oil kwenye hiyo turbo sasa ndan ya hiyo pipe Kuna filter ndogo saaana ambapo kutokana na oil zetu za kibongo hiyo filter huwa unakaa uchafu na kuziba na matokeo yake n turbo kutopata oil then inakufa!! Ndio maana...
  4. mwambyetete

    Gari linatoa harufu ya petrol ndani

    Mrejesho: Natoka shukran kwenu nyote mlionishaur juu ya tatizo hilo!! Tulifanya ukaguz ambapo iligundulika kuwa briza ya tank la mafuta halikufungwa na baadhi ya pipe zinazohusika na upumuaji zilikuwa zimechanganywa!! Baada ya kuweka sawa gari imerud katika Hali yake nzuri!! Asanteni saaana...
  5. mwambyetete

    Gari linatoa harufu ya petrol ndani

    Asante Kwa kunijibu Mkuu! Changamoto n kwamba nimeangalia vyote na kuviweka vizur lakin tatizo lipo kiasi ambacho wapo wanaonishaur kubadili Tanki lote!! !! Kama wew ni fundi unaweza kulitatua hilo tatizo niambie ulipo nikuletee unisaidie! Ukilimaliza nakulipa gharama yoyote! Au nikuuzie gar
  6. mwambyetete

    Gari linatoa harufu ya petrol ndani

    Msaada wakubwa!! Nna gari yangu Subaru Forester XT ilichanganywa mafuta Kwa kiwekwa diesel,,baada ya matengenezo limeibuka tatizo la harufu ya petroli utaisikia ndan ya Kaz hasa baada ya kuondoka au ukitembea barabara mbovu na ukiwa ac hasa Kwa mzunguko wa ndan! Nimechek pipe zote na kwenye tank...
  7. mwambyetete

    Msaada: Utaratibu kubadili noti chakavu upoje BOT?

    Kwa sasa banki kuu ilisitisha hiyo huduma na kuzielekeza benk za bishara kutoa hiyo huduma! Unatakiwa kufika banki yoyote ya biashara iliyo karibu na wew ili kupata huduma hiyo. Kumbuka huduma hiyo ni Bure na Haina mashart yoyote hivo hakikisha unapewa pesa sawa na uliyoenda nayo bila kuchajiwa...
  8. mwambyetete

    Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

    Bora ya wew ndugu yangu!! Nna miaka 30 tayar nna watoto tisa,wawili vijacho!! Katika watoto hao.wawili tu n mma mmoja wengine wote Kila mtu kivyake!! Mtoto wa kwanza ndio ana miaka 10 so you can imagine!! Mda mwingine nawaza kujihas
  9. mwambyetete

    Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    N premio F na sio G!! Premio G Ina cc 1990 nadhan
  10. mwambyetete

    Nimeanza mwaka nikiwa single

    Na mm niliachwa usiku wa kuamkia mwaka mpya,,fanya tuungane maana wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu
  11. mwambyetete

    Sababu gani ya ajabu iliyokufanya uachwe au uache

    Nilikuwa nadate na kabint ka chuo hapa mbeya,nilikapenda saaana na nilipanga kawe ka mama ka wanangu huko mbelen,,tulidumu kwenye mahusiano Kwa muda wote aliokuwa chuo mwaka wa kwanza. Alipoenda likizo kulitokea vikwazo ila aliporud nimempokea vizur siku mbili mbele akaniambia nimove on yey ana...
  12. mwambyetete

    Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Msikilizishe wimbo wa nenda salama wa Mac voice,,then tulia!! Muombe Mungu maumivu yataisha,Najua unapitia kipind gan maana na mm niliyapitia hayo!! Jiweke bsy futa kumbukumbu zake zote !!
  13. mwambyetete

    Single Mom nahitaji mwenza

    Pole Kwa baadhi ya michango ya wadau,,mm n single father nna watoto wanne,,wawili mama mmoja na hao wengine mama tofauti,,mnene kias chake mwajiriwa serikalin,elimu kidato Cha nne,,mnyakyusa a nafanya kazi mbeya!! Nimeishajenga tayar ila nimepangisha mm nakaa kota but nna Miaka 30 kamili ...
Back
Top Bottom