Wadau nimeona kwenye taarifa ya habari, hii ishu ya kupanua barabara ya mwenge to morroco is getting serious, sasa nnachojiuliza kwa upana wa barabara uliopo sasa hivi tunahitaji tena kufanya upanuzi au si ingekuwa ni vizuri serikali ingewekeza kujenga flyovers mbili moja mwenge na ingine...
Habari zenu wana JF, mimi ni kijana wa kiume, kwenye nyumba nnayoishi sasa ambayo nimehamia mwezi wa nane mwaka huu mara kwa mara nimekuwa nawaona N'ge na mpaka sasa nimeshawaua wanne wakubwa na sio vitoto.
Sasa naomba ushauri hivi inawezekana wanatokea wapi na dawa ya kuwatokomeza ni ipi ili...
Habari zenu wana Love Connect,
Before niliwahi kuituma hii reguest kwenye page ya MMU hapa JF lakin sikufanikiwa, Ni hivi... Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 32,naishi hapa Dar na nnafanya kazi kwenye NGO, nilishawahi kuwa na girlfriend siku za nyuma but unfortunately it didn't work...
Habari zenu wana MMU,
Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 32,naishi hapa Dar na nnafanya kazi kwenye NGO, nilishawahi kuwa na girlfriend siku za nyuma but unfortunately it didn't work out tukaachana and since then nimekuwa napata challenge namna ya kupata msichana ambaye yuko matured na...
Naomba kwa anayewajua Health Gear anifahamishe wapo wapi na wanafanya nini maana wametoa tangazo la kazi wakihitaji PROJECT OFFICERS bila kueleza kwa undani.-
Natanguliza shukurani
Duh! kweli inaboa, yaani mimi binafsi huwa napenda hii culture ibadilike, lichukuliwe kuwa ni jambo la kifamilia na watu wafanye kadri ya uwezo wao hii ingesaidia pia ku-motivate watu wa wafunge ndoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.