Recent content by Mwamakula

  1. M

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Hivi hawa Wamehongwa kiasi gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    Lissu ametaja mengi 1.List of shame 2. Yote hayo hakukosea
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu angeweza kuisaidia sana serikali katika suala la makinikia ya Acacia

    Hata Chenge ni mzuri kwa sheria, sasa kwa nini hajaitwa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imeamuru Nabii Josephat Mwingira wa Efatha apime DNA kesi ya Ugoni

    Hii kesi imeibuka kwenye gazeti la Mtanzania
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

    Hata pesa za Kagoda zilikwenda vyama viwili vya siasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kuingilia mgogoro wa CUF

    Chadema hawazuiliwi kusaidia Cuf kwa kuwa Wana uhuru,Hilo ni kundi la Ukawa Ila wawe makini sana kwa kuwa tatizo la cuf linaweza kuingia chadema
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini: Diwani wa Kata ya Muriet, Credo Kifukwe ajiuzulu

    Kwa nini Mauaji yanafanyika KIBITI tu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

    Nyerere alipambana na kundi kubwa na hadi leo wanamuogopa Mtu mwizi hata angekuwa na cheo haisadii Hakuna kuogopa kitu Kwa kila Jambo ni kumtanguliza Mungu! Hata kama tulisaini , kama kuna udanganyifu , lazima tutavunja Kulikuwa na biashara ya utumwa ilifutwa Wazungu walikuwa wanayuuza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fundisho kwa Serikali ya CCM. Upinzani sio Uadui

    Juzi Chadema wasema wavunja urafiki na Rail kwa sababu ya kuongea na Jpm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    UNAFIKIRI WIZI WA BARRICK UNA MKONO WA MISSAD.? Kwamba fedha zinazoibiwa nizinaenda kusaidia Mossad?
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Hizo fedha Mnazofanyia Starehe kwenye Mabaraza yenu kwanini msielekeze kwenye Maendeleo?

    Kuna hoja hapo ila: 1.Matusi mengi 2.CCM iangaliwe inafanyia wapi? 3.Mtoa mada ungetoa mfano wa kumbi hapa Dodoma maana nyingi ni za Polisi na Jeshi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!

    Nashauri Mdahalo wa Nini kifanyike kwenye Madini , wote tuwepo, wasomi na wanasiasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tunahitaji Rais Mwanasheria

    Chenge ni mwanasheria
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

    Muhongo akihama ccm atakuwa hana ufisadi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Manyoni Singida-waumini wazuia maiti isizikwe ili waiombee ifufuke

    Hii kitu ni mambo ya Gwajima haya !
Back
Top Bottom