Recent content by mwalukuni mchanyato

  1. mwalukuni mchanyato

    Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

    Leo ndio nimegundua watanzania baadhi kama Hawa kichwani ni bure kabisa.Mtu umri huu hajui kuwa kanzu,kofia ya kiislam yoyote na kubazi zozote ni mavazi halali yanayotambuliwa na serikali kuingia nayo ikulu,bungeni na ofisi yoyote ya serikali.No mavazi official. Hao wageni wamevaa mavazi ya...
  2. mwalukuni mchanyato

    KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Nenda ofisi ya mwalimu mkuu peleka malalamiko yako hapa huwezi pata suluhisho.
  3. mwalukuni mchanyato

    Yanga msimu huu watapaki basi kwa Simba S.C

    Hifadhi hii thread kama ukumbusho kwa watakavyopigwa Yanga.
  4. mwalukuni mchanyato

    Yanga msimu huu watapaki basi kwa Simba S.C

    Ubingwa ligi kuu uleee kwa mnyama
  5. mwalukuni mchanyato

    Yanga msimu huu watapaki basi kwa Simba S.C

    Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo. Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge. Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona. Mtajuta kuwafahamu Simba.
  6. mwalukuni mchanyato

    Hili jiji ni balaa

    Kweli?au unazusha tu.
  7. mwalukuni mchanyato

    Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Kwa umri wwnu hakimu anawatimua.Mngekuwa under 18 hapo kweli ila nyinyi na ndevu zenu hamna hata aibu. Tafuta chako kwa baba urithi na vitu vya bure ni siku akifa tu sio akiwa hai.
  8. mwalukuni mchanyato

    Walimu mmezidi njaa acheni hizo

    Mleta mada hajitambui huyu.Soon biashara inaenda kufa.Serikali yenyewe inakopeshwa na kukopesha mpaka madeni yanasamehewa.Sembuse wewe na kiduka chako cha uchochoro. Kwendraa usituchoshe na upuuzi wako!
  9. mwalukuni mchanyato

    Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

    Aangalie isije ikajirudia ya mh Ditopile Mzuzuri ya kushindwa kudhibiti hasira zake mpaka yalitokea yaliyotokea.
  10. mwalukuni mchanyato

    Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

    Miaka hii mmzidisha chuki za waziwazi.Kule mama anaipeperusha Bendera vizuri,wapenda ofa za wale wanaowagaia keki ya taifa peke yenu hamna. Endeleeni kuumia ili sisi tufurahi[emoji2211][emoji126]
  11. mwalukuni mchanyato

    Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

    Huyu mleta uzi ni zipezipe.Anataka atukanwe tu. Watu wa hivi IQ zao ni 0+
  12. mwalukuni mchanyato

    Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Mungu haleti mvua kwa ajili yao wakristo bali hataki kufuru yao katika siku ya krismasi na pasaka,ndio huwa anazuia kwa kuleta mvua ili wasifurahi vizuri kwa nafasi. Waislam sikukuu zao zote hazina mvua mungu ameridhia washerehekee bila kikwazo baada ya kutekeleza agizo lake la kufunga. Akili ya...
  13. mwalukuni mchanyato

    Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Vipofu waache wajadili wenyewe usiwaingilie.Mleta uzi huna ulijualo katika hii dini bali umetuwasilishia uzwazwa ili upate comment zetu. Kwa taarifa yako hii sio dini ya kiandikiana barua za waraka kwa petro au Fulani fulani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. mwalukuni mchanyato

    Hali ya Usalama kwa sasa hapa nchini inazidi kuwa mbaya, Unapaswa kujilinda mwenyewe na familia yako kadri unavyoweza

    Ukisikia Hali Mbaya Tanzania ya kiusalama ujue ni DAR.Takwimu ikionyesha Dar Hali tete,Jua kulikobaki ndio tete zaidi. DAR ndio Kila kitu na wanaofanya uhamisho wanatokea mikoani.
  15. mwalukuni mchanyato

    Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    Wewe pambana na hali yako sio ufuatilie maisha ya wenzako.Huu uzi sambaza mwenyewe kwa wenye mamlaka ,sisi hatuna muda mchafu.
Back
Top Bottom