Ngoja na mimi nijaribu kukujibu kutokana na uzoefu wangu huu mdogo.
Language nyingi za programming zinafanana misingi yake mfano kwa uzoefu wangu utaona language nyingi lazma zitakuwa na
variable(initialization and declaration)
Control Statement (if,switch)
Iteration( while/do...
Hongera mtoa maada kwa thread nzuri, binafsi naamini yeyote anaweza jifunza programming kikubwa ni kuwa na passion tu
Kwanza kabsa kabsa naushauri tafuta lugha Moja usome na kuilewa vzr sana hapa nashauri sana anza na C language, kwann nakishauri uanze na C, kwa sababu asilimia kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.