mwalukindo
New Member
- May 12, 2013
- 4
- 11
Hongera mtoa maada kwa thread nzuri, binafsi naamini yeyote anaweza jifunza programming kikubwa ni kuwa na passion tu
Kwanza kabsa kabsa naushauri tafuta lugha Moja usome na kuilewa vzr sana hapa nashauri sana anza na C language, kwann nakishauri uanze na C, kwa sababu asilimia kubwa ya language maarufu unazozijua au kuzitaman zipo kwenye mfumo wa c type language au zimeandikwa kwa C language hivyobasi kuilewa vzr c itakupa foundation nzuri ya kuweza kujifunza lugha nyingine kama python, java,php na nyinginezo
Kuwa na msingi mzuri wa lugha Moja vzr ni sawa na kuwa na 60% ya kujinza language yeyote hapa na recommend sana c language. Hivyo utakuwa na 40% ya kujifunza language nyingine.
Kitu kingine kabla ujajifunza language yeyote ni vzr ukajifunza historia yake ambapo itakueleza language husika ilitengeneza kwa madhumuni gani. Ikumbukwe kila language ina strength na weakness zake hivyo hakuna language bora kuliko nyingine ila tu inategemea na matumizi yako na uwezo wako wa kuweza kucheza nayo
Baada ya kujifunza C language nini kifuate
Hapa sasa inategemea na wewe inataka kutengeza nini kama web application basi kuna machaguo mengi tu mfano php, python, java, Ruby, c# na nyingine nyingi tu. Kama desktop app kuna java, c#, vb, python japo haipo vzr sana kwenye desktop na nyinginezo na kama ni mobile app kuna java, JavaScript, objective c for iOS na nyinginezo. Kwa upande wa automatation embedded systems na security basi python anafanya vzr sana. Igawaje c language pia anafanya vzr kwenye embedded systems
Nashauri utumie framework ili uweze kusave muda na nguvu zako kama unataka kufanya project yeyote kwan duaniani kwa sasa ndicho kinachofanyika
Oooh nisikuchoshe sana zifuatazo ni baadhi ya framework na languages zake
1.Web based framework
Php
Laravel
Codeigniter
Java
Spring
Ruby
Ruby on Rails
2. Embedded systems
Arduino (c, python nk)
Raspberry pi (c, python nk)
3. Mobile app
React native ( JavaScript)
Nikipata muda nitaendelea ndg zangu.
Nipo tayar kusahihishwa