Recent content by mwalisa jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    mpaka tar 15 yote itakuwa tayari
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    tuwe na subira ndugu mikoa mingi bado
  3. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    shukrani ndugu
  4. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    bari barikiwa ndugu yangu nimekuelewa
  5. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    al alizaa kwa njia ya kawaida tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    ndio ndugu mimi ndiye muhusika
  7. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    nawashukuru ndugu zangu imetokea tu bahati mbaya maana sikuwa na nia hii ya kuwazaa kwa ukaribu na nilifuata kalenda vizuri sijui hata nini kimetokea nawashukuru kwa ushauri wenu mbalikiwe lkn bado nakaribisha ushauri zaidi
  8. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    naombeni msaada ndugu zanguni
  9. M

    JamiiForums Tanzania msaada: afanyaje mtu huyu?

    Ndugu zanguni wana jukwaa poleni na mishughuliko ya mwanzo wa mwaka na hongereni kwa kuumaliza mwaka. Ndugu zanguni naomba ushauri, mtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje? mtoto akiachishwa kunyonya haitomuathiri kiakili na ukuaji? natanguliza shukrani zangu za dhati ndugu zangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu mtoto wa anakiwa ale chakula cha aina gani?

    Ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kairuki: Uhamisho wa watumishi wa umma uzingatie vigezo

    mbona hazungumzii uhamisho uliosimamishwa? kuna matatizo yashughulikiwe kituoni je matatizo kama maradhi yatashughulikiwa kituoni? toeni nyongeza ya mshahara na majibu juu ya watumishi walioomba uhamisho tokea mwaka jana uwe na utu we mama
  12. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    ukweli ni kwamba nimechoka sana kusubiri, nmepata mtu wa kubadilishana nae na taratibu zote tulifanya, jamani mpaka sasa mwaka umepita hakuna linaloendelea mbaya zaidi hakuna taarifa inyotolewa tujue kweli inaumiza sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jamani vibali lini vitatoka kwa yoyote aliyepata tetesi au tuanze upya? na je huko halshauri tutaaainiwa ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania msaada haraka: mtoto analia sana akiwa anataka kucheua

    t ahsante mimi ni baba mzazi
  15. M

    JamiiForums Tanzania msaada haraka: mtoto analia sana akiwa anataka kucheua

    habari ndugu zangu, mwanangu anamwezi mmoja na wiki tatu. Shida ni kwamba analia sana akiwa anataka kucheua analia sana nifanyeje?
Back
Top Bottom