Recent content by mwalimuu

  1. M

    Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

    Ile sifa yetu wadanganyika: tukiona maandishi mwanzo wa uvivu wa kusom...
  2. M

    Chawa na Kunguni wakutana...

    1. ''Wamakonde'' 2. Kawoko.
  3. M

    Wahenga tukumbushane tulipotoka hapa

    RTD : MMMT: Mang'ula, Mechanical, M.. and Machine Tools. TTBL: Tanzania Tea Blenders Limited : Bwana Chai : Wakati wowote ni wakati wa chai
  4. M

    Kwa wale wapenzi wa vitenge na African cultures

    Mi naona ni warembo!
  5. M

    Dodoma: Polisi wanatumia gari lenye namba T 623 CYZ kufanya uhalifu

    Mkuu umesahau ule usemi wa ''Wakati wote ni wakati wa ...?
  6. M

    Umewahi kuugua tumbo la kuhara ukiwa unasafiri safari ndefu??

    Duh! Aisee pole.Lakini nimecheka sana mpaka machozi.
  7. M

    Niliyoyashuhudia kanisani wakati wa ibada yalinichosha!

    Mimi ni mkatoliki. Hapo kwenye padre 'umebugi', sijui kwa mchungaji.
  8. M

    Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

    Usitumie cm tumia pc, utaziona.
  9. M

    Ujenzi wa "Mfumo Magufuli", hatari na janga kwa taifa kuliko Rais Magufuli mwenyewe

    Mimi ni mkatoliki. Siyo kweli kuwa kanisa katoliki linaona kuteswa kwa mtu ni habari njema.Hata kidogo.
  10. M

    KAULI YA MKUU: Haya yote ndani ya miaka mitatu. Je, miaka 30 ijayo itakuwaje

    Nimesema aende mahakamani kwa kuwa ametuhumu ununuzi wa ndege ni wizi wa kuaminika.Juu ya hali ya maisha ya watanzania kuwa mbaya ni kuwa anachokifanya Rais Magufuli ni kuwa anafanya hivyo ili kuondoa hiyo hali mbaya ya maisha ya watanzania. Ungekuwa na chembechembe kidogo ya elimu ya uchumi...
  11. M

    KAULI YA MKUU: Haya yote ndani ya miaka mitatu. Je, miaka 30 ijayo itakuwaje

    Did yo hear what the Permanent Secretary to the ministry of works said during today's ceremony? He said that in 2016 ATCL had 19 engineers. But as of today there are 50 of them! Just to mention a few.
Back
Top Bottom