Mjepo hawa ulioona katika mkutano wa UKAWA wamekuja wenyewe kutoka majumbani kwao. Hawajabebwa na malori wala coaster. Sisi tunaoleta habari tunafanya kwa raha zetu, hatulipwi buku 7.
Hatutukani wala kuponda kwa sababu hatujajifunza hilo wala hatulipwi kwa kuponda na kutukana wenye akili...
Wakuu heshima,kwenu.
Ninawaletea picha za mkutano wa UKAWA kama unavyoendelea mjini Moshi leo kwenye viwanja vya Railway.
Kwa hakika mkutano umehudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Moshi na wilaya za jirani na mji huu.
Jioneeni picha wenyewe. Huu ni moto wa kuotea mbali.
Ifweero!
Ulivyoanza hadithi yako sikuona kwamba ni umbea wa kawaida wa wachumia tumbo pale Lumumba. Nilifikiri kweli. Lakini baada ya kufuatilia unachosema namna unavyosema nimejiridhisha kuwa una utumishi makini sana kwenye kutengeneza uongo, ukauamini na kuwaaminisha wengine.
Naogopa iko...
Nimesoma hoja.
imenifurahisha sana.
imejaa busara na uzalendo mwingi.
lakini siamini kama imeletwa na Chriss.
chriss Lukozi huyu ninayemjua ama mwingine.
jamani wengine igeni. Kwa ajili ya katiba wote tutumie busara na tuweke tofauti zetu chini.
mwigulu najua uko huku. Angalia wanaCCM wenzako...
Mjenga; Hivi ni kweli kwamba kule kwenu Lumumba ukianzisha thread yenye kumtaja Slaa Mbowe na CHADEMA unalipwa 30,000/-?
Na kwamba eti wanaochangia tu hata kama wakiandika neno 'ndiyoooooo' wanakula buku 7?
hiyo dili limekaa poa sana!!!
Abunuasi; Kabla sijashangaa upuuzi ulioweka jukwaani. Nimeshtushwa na ukabila, ufamilia na usultani wa Kikwete kwamba yeye aliongoza Chalinze mara 3 mfululizo akamwachia binamu yake Said Bwamdogo sasa kwa kutumia ubabe wa majeshi, kukunjwakunjwa sheria za uchaguzi kulikosimamiwa na tume ya...
Katika hali ya kutatanisha Mhe. Diwani wa Viti Maalum (CHADEMA) Moshi Mjini amekamatwa na kushikiliwa na jeshi la polisi kuanzia siku ya jumatatu tRehe 1/4/2013 saa 4 asubuhi hadi jana tareh 2/4/2013 saa 8 mchana.
Diwani huyu ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la FPCT alikamatwa akiwa...
Pamoja na Waziri Mkuu kuamuru kuwa wale wote waliokamatwa kwa uchochezi wa matukio ya vurugu Mtwara waachiwe hali ni kinyume kabisa kwani kila siku watu wanakamatwa hovyo. Kwa sasa watu wanakamatwa kwa kosa la kuwa wananchama wa CHADEMA. Jana huko Lulindi kata ya Namalenga kijiji cha Mitesa...
Tulipokuwa JKT kuna maafande walikuwa wakitutukana kwamba akili etu hazina ubongo bali zina kamasi. Hili neno lilikuwa likiniudhi sana. Nilishangaa inakuwaje mtu aliyeishia darasa la saba anadiriki kusema kuwa mtu aliyemaliza kidato cha sita tena akafaulu eti anatumia kamasi badala ya akili"...
Najua kwamba moyo wa kulitumikia taifa utanifanya nisichoke kupanda mlima huu!
Enyi watanzania wenzangu twendeni tupande.
napenda kuuliza je hakuna anayeweza kupanda kwa kupitia CCM?
Kama wapo wako wapi na wanapanda kivipi?
Na kama hawako kwa nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.