ndugu wanajanvi kama haujawahi kujionea basi sikia hapa
huyu mtu ni mkuu wa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere cha kigamboni karibu miaka 20 sasa yupo katika chuo hiki,alistaafu akapewa miaka mitao ya ziada akamaliza akapewa tena miaka mingine miwili mpaka 2014 na sasa anaanza kuomba tena...
ndugu zangu naomba niseme kwa ufupi ukiwa uzalendo umenishinda kuwa ni aibu kwa Taifa kuwa na mtu aliekuwa na kipaji cha ajabu na chenye manufaa kama mwalimu Nyerere na mpaka sasa hakuna chuo cha maadili yake na kila kukicha chuo kilichoanzishwa ili kumuenzi kina chakachuliwa.Hautaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.