Recent content by Mwalihehe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Tundul HUYU anafaa kuwa Rais. Hakika HUYU ndiye Rais ajaye
  2. M

    JamiiForums Tanzania Marekani walimchagua Urais Obama ambaye Baba yake ni Mkenya. Halafu Mtanzania anakaa kujadili ujinga wa asili ya Mama wa Makamu wa Rais wetu

    Umeshasema walimchagua Obama, sasa hapa Tanzania tulimchagua nani? Hatukumchagua kiongozi yeyote, Bali walijiweka madarakani Kwa kumwaga damu October 29.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inavyoenda, usije shangaa siku moja Katuga akatetewa na LISSU Mahakamani

    Mipango ya MUNGU ni mikuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane ya Joyce Banda

    Umeeleweka vizuri sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

    Weeeee! HUYU ana msimamo na amenyoooka hawezi kupewa. Hiyo nafasi atapewa poyoyo mmoja wa ndio mkuu hata akijamba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA HARRIER-ANACONDA 2015

    Ooo! Nimeiona bei. Ngoja niende Katoro, nikirudi tu nakutafuta chap
  7. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA HARRIER-ANACONDA 2015

    Iko powa sana. Bei Gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wadada Wakisukuma ni wazuri mno, hakuna Wanawake wazuri kama hao hapa Tanzania

    Weeeee! ACHA kutupanga. Wasukuma sio watulivu kwenye ndoa. Hawafai, labda Kwa asiyejua. Ila kwa Mimi ninayefahamu hunidanganyi NG'OO
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Sio muda mrefu atalia na kusaga meno. Maana sasa Mama yake, mwisho wake umefika.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

    Ukweli mkubwa sana huu. Short and clear.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

    Sisi wanaume ndio kazi yetu kuwahonga wanawake magari. Sasa hata tusipo drive Wala sio shida. Hii ndio formula ya watafutaji
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea

    Lissu ameshawagalagaza kitambo sana. Sasa wanahangaika tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

    Nakupongeza sana, Kwa kutoa angalizo hili muhimu. Mimi binafsi nilikuwa sijui. Ila tutashughulika nao jumlajumla.
Back
Top Bottom