Mikutanao ya Ukawa huwa wanakua na sheikh na mchungaji kwa ajili ya sala/swala , hatuwahi kusikia ni wadini, slaa alimuhusisha gwajima kwenye zile hadithi zake, hamkumuita mchonganishi! Slaa amedai kuna maaskofu wamehongwa hata asitaje majina yao, wala kutuambia kama aliwataarifu TAKUKURU, TBC...
KIongozi wa dini aliyetuthumiwa siku ile alikua yeye sasa kwa nn mnataka akae kimya, Wale Slaa anasema kuna Maaskofu 30 waliohongwa hakuwataja otherwise na wao tungehitaji kuwasikia!!! Hamuwezi kuongoza watu kila siku kwa mbinu za udini na ukabila wakati kazi imewashinda siku nyingi...
Ataongea hotel ya land mark yeye ni mhusika wa karibu wa kukaribishwa kwa mgombea wa UKAWA bwana EL na kashfa nzima ya RIchmond, wananchi wanahitaji kujua ukweli....
na wewe unaamini ule mkutano uliandaliwa na yeye mwenyewe slaa na gharama zote alitumia pesa yake kuandaa? ni bora kukaa kimya kama kina lizaboni kuliko kuja na hizi hoja taka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.