jamani nlikuwa na folder lock yangu sasa ilikuwa trial kama kuna mtu anaweza kunisaidia ambayo sio ya dizyn hyo antumie hata link ni download hapa plz,au jinsi ya kuitumia hyohyo ila pia nimesahau psd yake ni mda sasa.
ingetafutwa njia nzur sababu rushwa na ngono ndio zinazotawala vyuoni ili mtu awez kupata gpa nzuri na hata mwisho wa siku aweze kubakishwa kwa kigezo cha gpa hali halisi hana uwezo hata wa kukopia nalaani san hasa haya ma vyuo ya private coz wanajifanya wanabana elimu yao kwa kupandisha grade...
nina mpenzi wangu anaitwa jasmini nipo nae chuo kimoja kasoro kozi zetu ndio tofauti.mimi nimepanga nje kidogo ya chuo yani naishi gheto na nikawaida yake yeye kuja kunitembelea anavyotaka pia kiukweli nampenda sana na yeye analijua hilo.kiukweli nina malengo nae ya kumuowa japo tuna tofauti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.