Recent content by Mwakipizo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbao wanavuna walichokipanda, walifanya kosa la kwanza kumfukuza Ndailagije wakapata bahati ya kumpata Amri Saidi wakarudia kosa wakamuondoa

    Kwanza nikujuze tu kabla dailagije ajaenda KMC alishakubaliana na Singida United, KMC wakapanda dau kuliko la Singida
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbao wanavuna walichokipanda, walifanya kosa la kwanza kumfukuza Ndailagije wakapata bahati ya kumpata Amri Saidi wakarudia kosa wakamuondoa

    Wewe hufuatili ndio maana malalamiko ya mashabiki wa Mbao hukuyasikia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbao wanavuna walichokipanda, walifanya kosa la kwanza kumfukuza Ndailagije wakapata bahati ya kumpata Amri Saidi wakarudia kosa wakamuondoa

    Mbao wanavuna walichokipanda. Walianza kufanya makosa kwa kumfukuza ndailagije aliekua akiijenga timu taratibu wakapata bahati wakampata Amri Saidi akaanza na timu vizuri. Sijui wakawaza nini wakafanya kosa lingine kwa kumletea Ali Bushiri kocha mzoefu aliemzidi elimu ya ukocha eti awe msaidizi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkude asema Hakuna zaidi ya Simba, akanusha kuibwaga timu ya Taifa

    nimepitia maoni ya wachangiaji wengi nilicho kigundua bado tuna safali ndefu kuujua mpila kama kazi yamkude amuioni safari nindefu sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe ingilia kati ahadi za wachezaji wa yanga iwe fundisho kwa wengine kuropoka

    hahahahaha utopolo fc katika ubola wao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

    amegoma anadai mgao wake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

    Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
  8. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari wa Yanga: Tumejiweka vizuri katika mbio za ubingwa VPL

    labda kwa kuliiba
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni 'threat' katika kukuza mpira Tanzania

    sio lazima wote tuwe mashabiki wampila jalibu kushabikia vingine labda utafanikiwa ucku kwenye soka kume kushinda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Manula apumzishwe hadi mwisho wa ligi

    wewe nishabiki hewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    paleint pale inapobidi namchapa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    nilahisi kukaanyuma ya kibodi kuelezea ubaya wafimbo lakini ukipita mitaani utakutana nakizazi kisicho na ndham wala hekima yote ssbabu yamapenzi yakipumbavu ya wazi mtoto unamwambia Mara ya kwanza hasikii yapili nayatatu hasikiitu hapo rafiki mzuri nikiboko wakati mwingine motto hufanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI

    waonivyura nakazi yavyura nikupiga kelele wacha wapige kelele sisi tupige mpila
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiungo bora duniani anapolambishwa udongo na kijana wa miaka 18

    uzuri wawasio ujua Moira Leo wanamsifia kesho wata mkataa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tanzania hamjitambui

    hahahahahahahahahahaha nishida
Back
Top Bottom