Ni hatua nzuri kwa Tecno kwani simu zao zitazidi kufahamika kote ulimwenguni. Naomba niseme, simu kuwa reviewed na GSMARENA.COM haimanishi kuwa simu hiyo ni simu bora au ni brand bora kuliko zingine, gsmarena.com wanareview simu popular kulingana na wanavyozipata ko kwa miaka kadhaa nyuma huenda...
Mungu alifanya binadamu ambaye awali alikuwa hajui maovu kabisa. Mfano wako sio halisi kwani mtoto mdogo zuri na baya hata halijui
Sent from my SM-J727P using Tapatalk
Wameshika neno la baada ya GHARIKA pale kwa mara ya kwanza alivyo ruhusu kula nyama ya baadhi ya wanyama "hivyo vyote kuleni ila msile pamoja na damu yake, kwa maana nitaihitaji" na ndo maana watu wengi wa zamani nyama ilikuwa haipikwi bila kubanikwa. Hii ilisaidia sana kuepukana na magonjwa...
Hata huyo ni binadamu tu, unaaminije ka anaseama ukweli. Kuna nguvu ya ajabu sana ambayo inakufanya uwaze juu ya jibu analotaka kunijibu hapa. Chunguza Kinyonga, kipepeo, mjongeo wa mwili wako n.k. Sio vitu vya kubuni katu.
Sent from my SM-J727P using Tapatalk
Jibu ni kwamba Mungu, ni Mungu wa haki. Alipo umba binadamu alimpa uhuru wa kuishi milele au kufa. Kwa hiyo binadamu alichagua mateso mwenyewe.
Sent from my SM-J727P using Tapatalk
Mkuu kumbe unawajuajua. Na kuongezea ni kuwa hawa amini kuwa Yesu ni Mungu na hapa ndo utofauti wao mkubwa na Wasabato.
Sent from my SM-J727P using Tapatalk
Nimejifunza sana nao Biblia, na nimehudhuria makongamano yao nikiwa Mwanza 2012-2016. Sijawahi kusoma,kutamkiwa hata kusikia unachoongelea kubusu wao.
Sent from my SM-J727P using Tapatalk
Wewe kuteuliwa balozi labda.
Kuna mtu kwenye thread flan kusuhu ujenz wa zile hostel alisema ile bajeti haitoshi ila watu walio weng walimpinga na kumtukana na kumsema hana uzalendo. Na, neno lake la mwisho lilikuwa "siku likipata nyufa mtaelewa nazungumzia nini"
Natamani aje hapa aseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.