Recent content by mwakinyamana

  1. M

    Mbeya msilale, shurutisheni serikali iwatengee fedha za kupanua barabara ya Tanzam eneo la Mwanjelwa hadi Mbalizi

    Mbeya mpaka atoke Sugu ndiyo tutawajengea barabara !!! la sivyo tutaisoma namba ndiyo maana JIWE hafanyi ziara kule
  2. M

    Walionaswa vituo vya Masaji watoa ushuhuda mzito juu ya mambo yanayofanyika ndani ya vituo hivyo

    hujasema ulimwacha au ulimla maana naona unatoa maelezo mengi!!!! hii dunia ya sasa ni ubunifu kwa kwenda, tena ukikuta serikali ambazo haziko makini kama zetu. ni mengi yanafanyika kwa vivuli vya biashara zingine
  3. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mtandao wa vodacom ni wezi wa Hela za wateja, wiki moja iliyopita Mke wangu alikuwa na salio la sh 3000 kwenye simu , siku hiyo ya kwanza wakakwiba tsh 300/=, siku ya pili wakakwiba tena 300/=. ikabidi kuwatafuta cha ajabu wakamwambia wife kajiunga na tusua mapene, maskini wife akabaki...
  4. M

    Uhuru Kenyatta amemtoa Rais Magufuli knock out! Ushauri wa bure kwa Rais Magufuli

    hatuwezi kwenda kenya kuomba kazi sababu hatuwezi shindana na wakenya, na ndy maana makampuni mengi ya nje yaliyowekeza tanzania yanatoa fursa za ajira nzuri kwa wakenya kuliko watanzania
  5. M

    Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

    Mh Lisu katumia busara, kusema hawa fahamu hao watu na hiyo yote kupunguza maswali na shauku ya watu kutaka kujua. Mh Lisu anajua ataanzisha kitu kipya akisema anawafahamu. Ngoja arudi tutajua mbivu na mbichi
  6. M

    Nape: Naamini matumizi ya akili kuliko nguvu! Kote nilikofanya kampeni sikutumia wala kubariki matumizi ya nguvu

    Ni ngumu kuamini!! na pia inawezekana hukuwepo kwenye kupanga matumizi ya nguvu, ila nina amini unajua mpango mzima.
  7. M

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Kama mlengwa aliisha vifahamisha vyombo vya usalama kuhusu kufuatiliwa na watu wasiojulikana (jina la kikundi cha ugaidi tanzania), na wakapuuza, kwanini tupate shida kujua wahusika?
Back
Top Bottom