Recent content by MWAKILA

  1. M

    Nafasi za kazi tasaf

    Wandugu changamkieni ajira 30 pale TASAF. ona link chini na attachment pia... Kila jema. Mtangulizeni MUNGU katika yote, maana yeye ndie muweza. New Vacancies
  2. M

    Nafasi za kazi ndani ya jf......

    Hujajibu swali Mwajiri Mkuu, je unazo nafasi za kazi?
  3. M

    Yanga vs Simba April 18 2010

    Visingizio tuache. Yanga ni timu bora kwa sasa na timu kongwe Afrika mashariki na kati. Hongereni Yanga. Yanga inatisha. Mwenye wivu ajinyonge. Ushabiki ni kukubali matokeo.
  4. M

    Yanga vs Simba April 18 2010

    Nafikili wewe ndugu yangu uanyesema Mwandike kawabeba Yanga hujui mpira na pengine hata ushabiki huujui. Mwandike ni kocha anayeheshimika sana katika medani ya soka , wewe ni nani hata useme hivyo?hata kurusha mpira tu hujui. Achana na ushabiki usio kuwa na hoja. Yanga ndio timu bora, lakini...
  5. M

    Yanga vs Simba April 18 2010

    Hakika Yanga inatisha. Nani kasema, Yanga ni kuendeleza kipigo tu. Yanga haiangalii mtu usoni. Hongera Mweneyekiti Madega na viongozi wengine wa club hii ya mtaa wa Twiga na Jangwani kwa kuwaonyesha simba kuwa Yanga ndio Club kongwa Afrika mashariki na kati. Mosho waliouwasha Yanga nani wa...
Back
Top Bottom