Recent content by Mwakayanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bado Kilimo cha Parachichi kinalipa 2023

    Wekeza ndugu yangu, parachichi Bado Ina soko na pia ukianza kuvuna hadi unakufa unakula tu matunda
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

    Bila kufanya kazi hiyo serikali ya wapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Upo sahihi ulichosema wakati wa kuweka mbolea uwepo na wakati wa kuvuna uwepo au awepo ndugu unaemuamini.Kwa simu lazima upigwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Dawa inauzwa niambie upo wapi nitakuunganisha na wadau, matumizi ikiwezekana ni muhimu kufika shambani.Hiyo dawa ikipiga hata nanasi uliopanda leo inatoa mbegu.Kujifunza kwa vitendo ni muhimu zaidi kuliko theories za kwenye mtandao usijepoteza hela yako,ukiwahi kuipiga unapata nanasi ndogo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Kwa Sasa tuna dawa ya kuchavusha maua/ kutungisha/ kuchavuja yakikomaa unapiga tena almost nanasi zote zinaweza iva wakati mmoja.Na wateja off season wapo wa kutosha mfano mimi Sasa hivi wanataka na ambazo hazijaiva kabisa kwasababu zipo off season.Pili ni kweli wasimamizi wanapiga hasa kipindi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Wewe umelimia wapi? Tunaweza tembeleana na kupeana ushauri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Toa huduma vizuri,Tenga muda wako hasa kipindi Cha zao kuhitaji huduma mfano mbolea na palizi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Mimi nimelima,nazingatia huduma zote za zao.Na pia niwaambie kwa Sasa tuna dawa ambayo unaweka Ili uvune nanasi mwezi ambao hauna nanasi nyingi.Cha muhimu zingatia kuhudumia vizuri Ili nanasi zitoke kubwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mdalasini

    Mbegu bei gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliolima Kiteto virginland tujuane

    Bei gani shamba kununua?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Laki moja kwa mwaka! Wanakodisha kwa miaka 5
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Sasa hivi kuna chemical ambayo unatumia yanaiva kabla ya wengine! Mfano Sasa unajua bei ya nani?
Back
Top Bottom