Recent content by Mwakawasila

  1. Mwakawasila

    Calender ya Serikali ya Hatifungani/Bond ya 2025/2026 Hii hapa

    Juzi wakati nafuatilia uzinduzi wa daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki La Magufuri lililokuwa linazinduliwa na Mh. Samia Hassan, Nilishangaa kuona pesa yote imetoka ndani na hakuna deni Toka nje, Lakini pia nilifurahi sababu riba watanzania ndio wanaonufaika kupitia Uwekezaji kwenye...
  2. Mwakawasila

    Kwa nini nidhamu ni muhimu kuliko motisha

    Nidhamu ni uwezo wa kujihamasisha hata bila msukumo wa nje. Ni nguvu ya asili toka ndani yako. Bila hii nguvu hutafanya chochote. Hutegemei mtu ili ufanye. Unafanya si kwa sababu unajisikia bali ni kwa sababu unatakiwa ufanye. Kuna wakati hutajisikia kufanya lakini utatakiwa ufanye, tu...
  3. Mwakawasila

    Ielewe Milioni Siyo Hela Kubwa Program

    Ielewe Milioni Siyo Hela Kubwa Program,.... Na jinsi inavyookoa watu Hii program ya Milioni Siyo Hela Kubwa inavyofanya kazi, Mfano ukasema Sina uwezo wa kupata 800,000 Kwa pamoja yaani cash Ambayo ndiyo mtaji nahitaji kufungua duka, Kuwekeza au kununua chochote kile.... Sasa ukawa UNAWAZA...
  4. Mwakawasila

    Milioni Siyo Hela Kubwa: Program iliyowakomboa wengi

    Safari hii nilitaka watu 20 na saizi wametimia Asante Kwa kuniamini
  5. Mwakawasila

    Hili tatizo siyo lako peke yako

    Ushawahi Jiuliza kwanini ukipanga jambo baadae unajipatia udhuru mwenyewe... Ni kweli unajisemea saizi natunza kiasi Fulani Cha pesa mfano 100,000 lakini ikifika 20,000 Unaitumia??? Hata usipoitumia inakuwa kama ushajicholea msitari kwamba hapa huvuki duu... Na ukipata pesa unayotaka...
  6. Mwakawasila

    Huu Siyo Uwekezaji, Ukitumbukia Utakufa Masikini......

    Watu Wengi Wanapenda Kueleweka... Mtu ajue mahitaji yake... Hali inayomfanya mhusika ajione amefika ,.. Na ajiachie Hilo eneo... Hii tunaita Saikolojia yako... Mtu akijua unachokitaka atakuwa na uwezo wa kukumiliki na kukutawala... Mfano najua unataka pesa si ndiyo... Tena uipate kirahisi...
  7. Mwakawasila

    Ongeza Mkondo Wa Mapato Ili Uwekeze Vizuri

    Wekeza kwenye uwekezaji usiosuport riba. Like skuku bond
  8. Mwakawasila

    Ongeza Mkondo Wa Mapato Ili Uwekeze Vizuri

    Unaweza Boresha zaidi unachofanya, Au ukaongeza kipato zaidi, Kuna kazi ukiwa unafanya inaruhusu kunyumbulika, jifunze namna ya kuboresha, Lakini zingine zipo limited Unaweza tumia njia mbili 1.Unaweza Anza kuwekeza kwenye HISA HATIFUNGANI na Mifuko ya pamoja, Lengo upate pesa ya...
  9. Mwakawasila

    Hizi Ndizo Faida Tano Za Kuwekeza Kwenye Mifuko Ya Pamoja....

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ni aina ya kampuni ambayo inajishughulisha na uwekezaji ambapo kampuni inakusanya pesa kutoka kwa wawekezaji wakubwa na wadogo na kuwekezwa kitaalamu chini ya uangalizi wa meneja wa kampuni hiyo, Hizo fedha zinawekezwa maeneo ambayo yataleta faida, Wanaweza...
  10. Mwakawasila

    Jifunze uwekezaji kwenye Group hili la HISA bure kabisa

    https://chat.whatsapp.com/EESLRXNogcqAmV06QeCNBE Humu utajifunza Namna ya kuifanya pesa ikuletee pesa zaidi Kwenye HISA, UTTAMIS, HATIFUNGANI, Real estate nk Bonyeza link uje whatsap Au nidm Kwa 255744980339 Mwakawasila Financial consultant
  11. Mwakawasila

    Tangazo la Gawio – Twiga Cement (2024)*

    📢 Tangazo la Gawio – Twiga Cement (2024) Kampuni ya Twiga Cement imetangaza gawio kwa wanahisa kwa mwaka wa fedha 2024 kama ifuatavyo: ➡️ Gawio lililotangazwa: TZS 600 kwa hisa ➡️ Tarehe ya mwisho kununua hisa kupata gawio: 21 Mei 2025 ➡️ Tarehe ya malipo ya gawio: 30 Juni 2025 📊 Utendaji...
  12. Mwakawasila

    Ndani Ya Miezi 4 Ungetengeneza Faida Kubwa Ukiwa Umelala Tuuu

    Leo tuangalie kampuni mbili TPCC (TWIGA CEMENT) na CRDB Tuanze na TPCC Ukiwa na mtaji wa 1,000,000 HISA 299 Tarehe 31/12/2024 Bei ya HISA zake ilikuwa Ni 3340 Tarehe 02/05/2025 Bei ya HISA zake ni 4500 Capital gain ni 1160 Ungekuwa umepata faida ya 347,305 pasipo Gawio 299 hisa *600 Gawio...
  13. Mwakawasila

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Lakini Jitahidi uzimalize kule kweli ni za kulipia jitahidi ziishe haraka mfano Dosari Kuna vipande nane tu kule Fasihi.net Nimelipia Kwa ajili ya story yako inanilazimu nisome Hadi nisizozitaka Hongera Kwa kazi nzuri
  14. Mwakawasila

    Mlinganisho wa Uwekezaji: Hisa vs. Hatifungani 📊

    Picha inaonyesha tofauti ya faida kati ya uwekezaji wa TSh 1,000,000 kwenye hisa za CRDB na hatifungani yenye riba ya 15.95%, ndani ya miaka 5. 📌 Uwekezaji katika Hatifungani (Bond) ✔️ Uliwekeza 1,000,000 TSh kwa muda wa 25 miaka ✔️ Riba ya kila mwaka (Coupon Rate): 15.95% ✔️ Ulipokea ~159,500...
Back
Top Bottom