Naomba mdau yeyote mwenye uwelewa anisaidie niweze kuelewa huu mfumo wa zabuni ukoje na vigezo gani mtu anapaswa kuwa navyo kabla hajaanza kuomba hizi zabuni na faida mtu anaweza kupata kupitia mfumo huu please. natangliza shukrani zangu nyingi za dhati.
Hamna bro nmepata data moja iv kwamba kule mtu akiwa hana kazi ujue kaamua tu lakini ajira zipo za kutosha na wananchi wake wanalipwa kila week bro pesa ya kula.
Jamani kama hapo juu panavojieleza nahitaji kwenda kutafta maisha Australia sasa nataka mtu mwenye experience na mazingira hayo aweze kunisaidia kuwa mwenyeji wangu, kunijulisha gharama za kutoka hapo Bongo mpaka huko lakini pia upatakanaji wa ajira huko vp?
Karibuni wadau.
unajua nini ww ni mwanamke wa mtu mwingine ambaye hujamjua na lazima uelewe sio kila mwanamke mzuri basi ni mzuri kwa kila mtu bali mwanamke ni mzuri kwa mtu mmoja tu.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha mwenge catholic, katika fani ya ualimu wa GEOGRAPHY na HISTORY kama kuna shule inahitaji walimu nipo tayari bila kujali mazingira ya aina yoyote, naomba kwa atakayenihitaji anitafute kupitia namba ya simu ifuatayo; 0763075251 au E-MAIL; OMWAKASYUKA@GMAIL.COM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.