Hivi mwakyembe atakuwa na nguvu ya kumdadavua lowasa wakati atakuwa ameshakatwa na wana kyela. kwa tunaomuona mwakyembe fisadi aliyejiuzia nyumba za NBC tukuyu kwa hela za kununulia uwanja hana uwwezo huo kachanganyikiwa na kukatwa na wanakyela hasalimii watu yeye ni kununa tuu
Mtu wa kuishawishi na kuinyamazisha mbeya upande wa CCM ni mwandosya sio huyo
muwindaji wa tembo kinana baada ya mwandosya kukaa kimya mtu mwenye ushawishi huo ni SUGU pekeake. kinana tunamuenjoy na helkopta yake mbovu ili ajisikie nae kiongozi akiondoka tuu ni chadema mwendo mdundo. nawaambia...
kweli kuna haja ya kuwarudisha shule vijana wote walioanza darasa oa kwanza 1986 mpaka sasa koz nchi inaangamia kwa kutokuwa na watu wanaofikiri. kwa hili kweli huu ni mwaka wa elimu kwanza
kaka walichokifanya kingunge na sumaye ni kuunga mkono upinzani na uungaji mkono sio lazma uwe na chama na wao sio wa kwanza ndio maana hata raisi mstaafu wa nigeria olesugun obasanjo alikihama chama chake ili kuunga mkono upinzani ila hakujiunga na chama chochote kile yupo huru na haikumaanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.