acheni upumbavu.hivi ninyi ni watanzania?kati ya hayo yaliyotajwa hapo juu,ni mtanzania gani asiyeyapenda?au mnadhani upinzani wanakubali kudhalilika kwa maslahi ya nani kama si watanzania?
kigwangala hapo mwanzo nilimwona mtu mwenye busara sana.na nilimwamini,hasa kwa jinsi anavyoweza ku-reason na kutetea hoja zake kisomi.lakini juzi ndo nilishindwa kumwelewa.hivi kweli ni kigwangala huyu ninayemfahamu au alikuwa insane at that material time?kigwangala ninayemwelewa mimi,si mtu...
Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 nchini
MAANGAMIZI YA KUTISHA YA WANANCHI WA BULIGI
(Wanyarwanda wahusika na unyama dhidi ya Wasukuma)
Hii ni Taarifa ya kuteketezwa zaidi ya nyumba 500 za wananchi wa kabila la Wasukuma kwa moto, pamoja na tani nyingi za mazao yao ambayo ni...
YANI,HATA MKE WA KIKETE NI COUSIN WA former Rwanda leader Juvenal Habyarimana,ALIYEUWAWA.LAKINI,KINACHONISHTUA NI KWAMBA,MAMBO YALE YA UKWELI NILIYOKUWA NINAYAFAHAMU,YAMEZUNGUMZWA KIUKWELI VILEVILE.HALAFU,HIZI TETESI ZA MWANAJESHI WA TANZANIA KUTOROKEA RWANDA NA TAARIFA ZINAZOSADIKIKA NI MUHIM...
no,mimi nafikiri tusi-take easy kiivo.tayari hili swala la rwanda litupe lesson ya kujifunza hapa.haya mambo ya kupuuziapuuzia ndio yametufanya tufikie hapa.
Jamani, mara kadhaa nimekuwa nikitafakari, hivi inakuwaje kanchi kama Rwanda kuwa na mkwara mzito wa namna hii kwa Tanzania?
Sasa, baada ya kupitia ripoti ya mchungaji Mtikila, ambayo hapo mwanzo sikuiamini sana, lakini sasa nimeiamini kwa kiwango fulani baada ya haya kutokea.
Kumbe nchi...
Kigwangala hapo mwanzo nilimwona mtu mwenye busara sana.na nilimwamini,hasa kwa jinsi anavyoweza ku-reason na kutetea hoja zake kisomi.lakini juzi ndo nilishindwa kumwelewa.hivi kweli ni kigwangala huyu ninayemfahamu au alikuwa insane at that material time?kigwangala ninayemwelewa mimi,si mtu...
Jamani,mimi matumaini na serikali yetu yameanza kunipotea kabisaaaaaa!!!!unless ituambie kuwa ina agenda ya siri ya kueneza uislamu na kuwanyanyasa wakristo.jiulize swali dogo tu.kwa nini anapotawala rais wa kiislamu,lazima vurugu za kidini,na hasa ukatili kinyume na wakristo unashamiri?halafu...
wadau,mimi sina chama.ila mara kadhaa(japo si mara zote)hoja za dr kigwangala nimekuwa nikiziona zina mantiki.lakini ,tendo alilo lifanya la kumrushia kashfa kiongozi wa upinzani,kwa mazingira yale yanayoonekana,ya naibu spika kushindwa kutumia busara ndogo tu,imenifanya nijiulize,hivi ni...
jamani ,mimi naomba nipewe status ya school of nursing UDOM.maana nasikia hakuna waalimu ambao ni nursing specialists.eti kuna waalim kama 10,kati ya hao,walio manesi ni wawili tu (TAs),wengine wamesoma vitu vingine tu.na kuanzia dean na heads of departments sio manesi na hawafahamu nesi wa...
mkuu naona wewe una ufaham fulani juu yya udom.naomba unipe profile ya waalimu wanaofundisha nursing udom.nilitaka kuapply kufanya diploma this year,lakini nasikia hakuna mwalim aliyespecialize nursing hata mmoja ambaye yupo hapo school of nursing.na nasikia kuanzia mkuu wa kitengo mpaka mahead...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.