Mpaka sasa kamati ya maadili ya Chama Cha Mapinduzi CCM bado iko njia panda katika kufanya maamuzi magumu juu ya wanachama wake waliofungiwa kwa kuanza kampeni mapema.
Imebainika kuwa sababu kubwa inayowafanya wajumbe kamati hiyo inayoongozwa na Philip Mangula kuwa wakati mgumu kutona na kwamba...
Watanzania mnapaswa kuelewa kua tatizo la chadema nikuto practice dhana nzima wanayo itumia kwa sasa ya movement for change m4c hii wanapaswa kuelewa pia hata ndani ya chama kuna muda watu wanahitaji change sasa tatizo la viongozi wa chadema sijui kama wanaaamini katika mabadiliko ndio maana...
Ni week mbili sasa toka zitto kabwe kufukuzwa chadema kufuatia kile kilicho amuliwa na mahakama. Lakini wachambuzi wa mambo wamegundua yafuatayo:
1. Zitto amefukuzwa sababu kubwa viongozi wa chadema kutokukubali ukweli kwamba sometimes peoples needs changes,hatukatai inawezekana kabisa kua kuna...
Kufuatia CCM kushindwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa Lowassa katika harakati za kumpata mgombea sasa wakubali yaishe na kusema tuache wanachama waamue kuchagua mtu wanayeona anafaa.
CCM wamefikia uamuzi huo baada ya kurudi nyuma na kukumbuka kilichowapata katika uchaguzi uliopita hasa katika...
Watanzania mnapaswa kuelewa kua tatizo la chadema nikuto practice dhana nzima wanayo itumia kwa sasa ya movement for change m4c hii wanapaswa kuelewa pia hata ndani ya chama kuna muda watu wanahitaji change sasa tatizo la viongozi wa chadema sijui kama wanaaamini katika mabadiliko ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.