Nape: NEC wawajibishwe

Nape: NEC wawajibishwe

Nape ni mropokaji mno wakati mwingine mdomo wake hauna ushirikiano na ubongo kabisa huyu mtu
 
Aanze kumwambia Mwenyekiti wake wa Chama na Waziri Mkuu Pinda. Hawa anawaogopa?. Hao ndio Chanzo. Asizunguke Mbuyu.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ametaki viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), wawajibishe kwa kuahirisha tarehe ya kufanyika kura ya maoni.

Nape ameituhumu NEC kwa kutumia fedha za umma kugharamia semina na vikao visivyoisha kwa ajili ya zoezi hilo na kwamba hawakusikiliza ushauri kuwa zoezi hilo lisingewezekana.

Chanzo:Mwananchi

My take:
Jaji Lubuva, maadamu Nape kaamua kamwaga mboga, basi nawe mwaga ugali ili kukuta mzizi wa fitina.

Nape kama ana ubavu aanze na Mwenyekiti wake.
 
Naamini akiyekuwa anasisitiza kura ya maoni tar 30 April ni Rais JK Kikwete , Huyu Nape sijui anatumia vigezo gani kuwalaumu NEC
 
Kuna uzi uko wa ma Prof. na wahadhiri wa chuo kikuu ambao ni magwiji,sijui kama Katibu Mwenezi aliuona huo uzi...na sijui kama alibahatika kusomeshwa nao au hata kuwaona au kusikia habari zao...Mzee Lubuva tunaomba saana yasimtokee yale yaliyomtokea Mzee Warioba...maana dalili zaanza unekana,ni bahati yule mwingine anashugulika na Gwajima au sivyo Mzee wetu Lubuva angeoneshwa rangi za Dar Young Africans.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ametaki viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), wawajibishe kwa kuahirisha tarehe ya kufanyika kura ya maoni.

Nape ameituhumu NEC kwa kutumia fedha za umma kugharamia semina na vikao visivyoisha kwa ajili ya zoezi hilo na kwamba hawakusikiliza ushauri kuwa zoezi hilo lisingewezekana.

Chanzo:Mwananchi

My take:
Jaji Lubuva, maadamu Nape kaamua kamwaga mboga, basi nawe mwaga ugali ili kukuta mzizi wa fitina.

We Nape wee! Wa kulaumiwa sio NEC Bali JK na serikali yake na chama Chenu kwa maagizo hewa!
 
Tume ya uchaguzi hii ya Tanzania sio huru! Ingekuwa huru rais asingetangaza tarehe ya kura ya maoni
 
Nape usitufanye sisi watanzania mamburula eti unajifanya Mwenyekiti wa tume NEC awajibishwe huna lolote wewe tumekuzoea na ngonjela zako
 
Ni kawaida yao kuongea ujinga kwa kuwa wanajua hawatoi nafasi ya kuulizwa maswali,watoe nafasi ya kuulizwa maswali waone balaa lake
 
Wa kuanza kuwajibika ni mwenyekiti wa ccm taifa. Kwa sababu yeye ndo alitangaza tarehe ya kura ya maoni badala ya tume iliyostahili kutangaza tarehe husika. Pia serikali anayoiongoza imeshindwa kuipatia tume bvr 15000 kwa ajili ya uandikishaji wapiga kura, na badala yake wamepewa bvr kits 250 tu. Tatizo la Nape ni mropokaji!
 
Narudia hii ni aibu kwa Prof., Mzee 6, Mzee Lubuva, CCM na Serikali. Wote walishirikiana kutuingiza mkenge. Waacheni walaumiane wenyewe kwangu hakuna mwenye afadhali. They should all be held to account.
 
NAPE is righ; but it goes to prove that NEC is independent. It can't be fazzed by anyone, not NAPE, not Mnyika, not the UKAWA Bishops. Judge Lubuva made his decision on the basis of facts and developments in front of him, not by harrasment from activists. Kudos to the Judge! Tells when you are ready, Sir, and we'll be there waiting. KATIBA NZURI SANA HII.
 
Du kuna maigizo huku duniani ila ccm wamezidi na cha ajabu anaongea halafu waandishi hâta hawamuulizi maswali .yaani ujinga ufanywe na jk leo imekuwa lubuva
 
Back
Top Bottom