Recent content by Mwakalasi kilongo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Babu Seya atatoka jela leo

    Ni kweli c wewe huko dar ulimsaidia kushika miguu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heslb ukombozi tenaa

    angalia fresh hyo taarifa ni ya lini
  3. M

    JamiiForums Tanzania apeal heslb

    Dogo ukitaka uliwe 5000 yako we appeal, watu toka tume appeal mwaka jana no feedback, hadi tukaomba upya lakin hamna lolote, in short hawa jamaa ni mizinguo tu.Na kama upo home huwezi appeal sababu kuna reg number na mhuli wa dean of student unahitajika.IN SHORT MDA WA KUAPPEAL BADO HUJAFIKA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kozi ya Hydro-geology and Water Well Drilling

    Kama unaipenda unaweza ukaendelea nayo mbona kuna bachelor of science in hydrogeology UDOM
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku opt kozi

    Jamani naomba mnisaidie kati ya hizi elective course ni opt course gani?: 1:introduction to astronomy and astrophysics, (10 units) 2: numerical analysis, (10 units) 3: earth-atmosphere system (7.5 units).
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku opt kozi

    habari wakubwa! samahani naomba mnisaidie kati ya hizi kozi ni opt ipi: 1:astronomy and astrophysics, (10 units) 2:numerical analysis, (10 units) au 3: earth-atmosphere system. (7.5 units) MSAADA WENU NI MUHIMU WAKUBWA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Ingilia Kati Wanafunzi Waruhusiwe Kujisajili Vyuoni suala La Ada baadae

    dah, kaka sio ardhi tu UDOM ndio usiseme, nina siku ya 3 leo na sijui hatma yangu maana bila registration hupati room hata kama umeshalipia accomodation, mkopo sina na ada yangu ni 1.2M, natakiwa kulipa 600,000/= for tution fee, 144,000/= for accomodation, 100,000/= medical fee na 5000/= for...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

    nenda ujasi dogo, atleast kdg hayana chumvi
  9. M

    JamiiForums Tanzania VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

    hyo rank ina umuhimu gani katika maendeleo ya elimu yetu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Boom Boom!jamani

    hela zishafika vyuoni, so ni ishu ya chuo sasa na si board tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

    Edo ndio kila kitu kaka, shafih ana mambo mengi sometimes anasahau kutaja hadi muda wa mechi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Bsc in physics

    But mbona kuna watu wanasoma Bed science, yy kozi za ualimu hasomi,, hy imekaaje?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Bsc in physics

    Msaada kwa anaejua kuhusu hii course 'bachelor of science in physics' 1: Ina mtrain m2 kuja kuwa nani? 2:field zao huwa wanafanyia wapi? 3:Is it marketable? Kuna mdogo wng kachaguliwa kwenda kuisoma bagamoyo university but he know nothing about it wala hakuichagua, na kwa taarifa nilizopata...
  14. M

    JamiiForums Tanzania udsm_muce hakuna kitu bora teKu

    Nenda grade A ndio kuna madem, university ina wenyewe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina point 28 kwa ngazi ya form four

    2kusaidie nini sasa dogo? usiwe mvivu wa kujieleza
Back
Top Bottom