Recent content by mwakafuka1981

  1. mwakafuka1981

    Mtoto wa Mabere Marando akutwa na kashfa ya UFISADI chuo kikuu Mlimani

    Kama kweli wewe ni mgombe inaonyesha unauwezo mdogo sana wa kufikiri hata uwepo wako hapo chuoni napata mashaka ulifikaje kuna kila sababu ya viongozi wa chou kufuatilia ilifikaje hapo ulipo jaribu sana hata kama unapenda siasa husijaribu kujifunza siasa za uchochezi kwani kwa tanzania hazina...
  2. mwakafuka1981

    Mtoto wa Mabere Marando akutwa na kashfa ya UFISADI chuo kikuu Mlimani

    Pumbavu sana sijaona ufisadi wowote katika yote uliose kabla ya kufanya au kusema lolote fanya utafiti kwanza kwani ulicho kisema kinaonyesha hukufanya utafiti wewe ilitakiwa kuwa mpiga debe si msomi
  3. mwakafuka1981

    ACT wazalendo ndiyo habari ya mjini

    kuna watu najua hawapendi kukubali ukweli ila chadema hawana muda act ndiyo kinakuja kuwa chama kuu cha upinzani tanzania na habari ya chadema itakuwa imeishia hapo kama unataka kujua hilo jaribu kuuliza NCCR wako wapi
  4. mwakafuka1981

    ACT wazalendo ndiyo habari ya mjini

    Watanzania naomba kukiunga mkono chama cha a.c.t maendeleo kwani ndiyo habari ya mjini kwasasa wakati umefika wakuwa na wapinzani wa ukweli siyo wapinzani wa kutaka wawe wao tu nini maana ya demokrasia kama huwezi kuwapisha wezako kuchukua nafasi eti nimeombwa na wazee chadema waache...
  5. mwakafuka1981

    Mtazamo juu ya fikira za viongozi CHADEMA juu ya watanzania ni mfinyu sana

    Unajua inapofikia wakati mtu mzima mwenzako anakuona huna akili ni dharau kubwa sana na inapofikia chama kinaona watanzania hawana akili ni dharau kubwa sana tufike mahali CHADEMA iwaeleze Watanzania ukweli juu ya harakati walizo anzisha kwani hazina uwazi na ukweli wala mwelekeo wamekuwa ni...
  6. mwakafuka1981

    Mheshimiwa Thelathini unaipeleka CHADEMA shimoni

    Leo mheshimiwa Thelathini alikuwepo Ihumwa Dodoma hakuna jipya zaidi ya kuendelea kupita kwenye kazi ngumu na nzito aliyofanya Zitto Zuberi Kabwe na kuwakashifu wapiga wa jimbo la Dodoma embu CHADEMA wampe taaluma ya kuongea kwenye majukwaa.
  7. mwakafuka1981

    Hatuwezi kuuza jimbo la Dodoma mjini kwa 10000

    Njaa wapi mkuu unajua inawezekana hata anapotangaza nia mke wake hajui ndiyo maana anakosa mahaamuuzi sahii ni bora andeacha kutoa kuliko kuwazalilisha wa2 kuna siku kawakusanya watu kaazisha ligi zawadi 10000
  8. mwakafuka1981

    Hatuwezi kuuza jimbo la Dodoma mjini kwa 10000

    Uwezi amini kuna mgombe hanaitaji kugombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini akiwaita kuwaeleza niya yake ya kugombea ubunge hatakama mpo 200 anatoa 10,000 kama posho ya kikao hivi tuuze jimbo kwa 10,000 tena anajiita mjasiria mali mmiliki wa hoteli flani huyu ni chizi tunaomba maoni yenu...
  9. mwakafuka1981

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Antony peter mavunde~ dodoma mjini
  10. mwakafuka1981

    Antony Peter Mavunde mbuge mtarajiwa Dodoma

    Kuna tetesi wakazi wa jimbo la dodoma mjini wanataka kumkabithi kijana jimbo kama wewe ni mkazi wa dodoma naomba nipate maoni yako juu ya tetesi hizi kwani huu ndiyo wakati muhafaka
  11. mwakafuka1981

    Je, Masheikh wa Bagamoyo wametumwa na Jakaya kumuomba Lowassa agombee Urais?

    Lowasa ndiye rais wa tanzania ila kwa sababu ya katiba inabidi uchaguzi ufanyike lowasa anaijua nchi hii vizuri huwezi kumpa muhuni mwingine kama unabisha tukutane nov 2015 utaniambia
  12. mwakafuka1981

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Wakuu ni kweli kuna baadhi ya waheshimiwa wamekalia kuti kavu ikiwepo mbuge wetu wa jimbo la dodoma mjini mheshimiwa malole muda wake umefika mwisho kuna kijana tunataka tumpe jimbo hatufikishe pale tunapo hitaji huwezi kuwa mbuge wa posho mpaka lini?
  13. mwakafuka1981

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Jimbo la dodoma mjini mbuge malole ni kama tumeweka pazia hakuna halicho fanya vijana tuna taka kufanya mabadiliko makubwa tumevumilia kumechoka
  14. mwakafuka1981

    Katibu Mkuu Kinana, ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

    Kinana kimbiza mwizi kimia kimia lazima mwizi apige kelele kwa usalama wake
  15. mwakafuka1981

    Katibu Mkuu Kinana, ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

    Hama kweli ccm ni noma unajua hakuna binadamu mjinga kila mara unaweza kuwa mjinga wakati wa kwenda ila siyo wa kurudi kinana kaza buti hao chadema tunajua watakata matokeo ila hakuna mpinzani anae weza kupewa nchi hii hakuna na hakuna
Back
Top Bottom