Recent content by Mwajuma ndarandefu

  1. Mwajuma ndarandefu

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    argument yenye kuleta tija ni kusema kuwa yupo bandarini anasubiri mzigo wake?? Imekuwa stendi ya Shabiby??? Acha ukanjanja
  2. Mwajuma ndarandefu

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Sikia wewe kanjanja, acha kutuwekea toilet paper zilizopitwa na wakati, weka vitu kama wenzako taarifa za kisasa na za uhakika kutoka gazeti lenye sifa zake mjini. Umeelewa we kanjanja
  3. Mwajuma ndarandefu

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Nimesoma kipeperushi chako cha kufungia vitumbua, kwanza kimepitwa na wakati, ndio maana nasisitiza wewe ni kanjanja
  4. Mwajuma ndarandefu

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Huna hoja unavihoja, unaokoteza vipeperushi ambavyo wewe mwenyewe hujavielewa
  5. Mwajuma ndarandefu

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Wewe ni kanjanja, kanjanja huna hoja. Hujui unachoandika, unadandiadandia vihoja.
  6. Mwajuma ndarandefu

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Wewe ni kanjanja nnawasiwasi hujui kusoma kingereza. Kanjanja kabisa
  7. Mwajuma ndarandefu

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Wakati kukiwa na taarifa zilizochapishwa kwenye vyombo vya habari kuwa akaunti ya escrow iliyofunguliwa benki kuu ( BOT ), kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika julai 5, 2006, zilikuwa sh bilioni 306.6, kabla kutolewa kwa fedha hizo mwaka 2013, taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (...
  8. Mwajuma ndarandefu

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Ripoti ya CAG,hakuna sehemu yoyote inayosema kwamba fedha iliyotolewa kwenye akaunti ya escrow ni mali ya umma.
  9. Mwajuma ndarandefu

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    I like this, PAC walichemka
Back
Top Bottom