Recent content by mwajuma fadhili

  1. mwajuma fadhili

    Mambo ndivyo sivyo baada ya kumtoa bikra binti wa kitaani kwetu

    mbona ulivyomtongoza hukukumbuka kuwa umeaply tcu ndo ukome
  2. mwajuma fadhili

    Kwanini waliopata alama ndogo ndio wanasomea ualimu?

    hivi umeona hyo style ya waalimu waliowengi kutoka vyuo vikuu ni majanga wewe
  3. mwajuma fadhili

    Nimezaa na nisiyempenda

    ni ulimbukeni mtu mwenye akilii timamu kusema NMEKUWA NA MAHUSIANO NA MTU NISIYEMPENDA! je huyo ni changudoa kwamba ulifanya naye biashara? kama kweli hukumpenda ulivyomvua nguo(ashakum si matusi) ISINGESIMAMA wewe tamaa zimekutawala ubinafsi. kutojielewa ndo maana ukiwa na mpenzi ukiona wengine...
  4. mwajuma fadhili

    Kwanini waliopata alama ndogo ndio wanasomea ualimu?

    kuna walimu walipata div.1 o level advance div.2 but hyo presentesion yao darasan niyakuandaa div 5. kama mtu alipata div 1-3 kiufupi amefaulu akienda facaulty yeyote akakomaa anakuwa competent
Back
Top Bottom