Recent content by mwaitebele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa muongozo wa mitihani ya kitaifa

    Hata wewe unakisia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye anahitaji udhibiti wa kichama wa haraka, atatudhalilisha!

    nape atatusaidia sana ccm kuendana na vijana Wa chadema wenye vurugu bungeni kama sugu, mnyika, mdee, lema kama atapita tena, tindulisu na wengineo dawa ishapatikana we unajiita mwanaccm unajua nape kaagizwa nn mwache afanye kazi yake we usiyejua usimfundishe kazi utulie tena chunga mdomo wako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

    hebu tuachane na magazeti ya udaku lowasa wa watu alisha jipumzikia na ng'ombe zake huko monduli kama alivosema hapo awali akihojiwa na bbc mi ntasema neno mpaka nimsikie lowasa kasema live
Back
Top Bottom