BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Yah: Tathmini ya Kampeni ya “No Reform No Election” na Mapendekezo ya Hatua za Haraka
Viongozi wangu wapendwa,
Kwa heshima na taadhima, ninawandikia barua hii kama mwanachama mtiifu wa CHADEMA, mwenye mapenzi makubwa...
🟡 𝐇𝐎𝐉𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐊𝐔𝐇𝐔𝐒𝐔 𝐔𝐓𝐄𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈𝐊𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐃𝐆𝐈𝐒
Jamani, naomba nieleweke vizuri. Mimi si pingamizi la hoja kwamba vitendo vya utekaji vinaendelea—wala simpingi hoja za watu kama Mh. Gwajima kuhusu hali hiyo. Utekaji ni kweli umetokea na bado unatokea, hiyo haibishaniwi na...
Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe mtizamo wangu kuhusu hili na nieleze nani anafaa kati yao ingawa mimi binafsi 𝑺𝒊𝒐 𝑻𝒆𝒂𝒎 𝑳𝒊𝒔𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒂 𝑺𝒊𝒐...
✳️JE ULINZI SHIRIKISHI NI BIASHARA HARAMU!?
🔜JE, NI NANI MWAJIRI WA HAWA POLISI JAMII, NA JE WAPO KISHERIA NA MAFUNZO YAO WAMEYATOA WAPI!?
🔜KWANINI WANANCHI TULIPIE ULINZI SHIRIKISHI WAKATI TUNALIPA KODI!?
🔜NA IKIWA TUNALIPIA, JE POLISI JAMII WATAWAJIBIKA KUTULIPA FIDIA IKIWA WAMESHINDWA...
✳️MAMA SAMIA USIMUNG'UNYE MANENO,IKIWA KUNA USHOGA SEMA KUNA USHOGA‼️TOA MSIMAMO WA SERIKALI YAKO KWA TAIFA ZIMA KUHUSU HILI WIMBI LA USHOGA‼️
Wakati nchi ipo katika hii sintofahamu ya kuzuka kwa wimbi hili la ushoga, nimesikitishwa sana sana na kauli mbalimbali za Rais wa nchi ya Tanzania,Mama...
Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na Zaidi ya yote wananchi tumetwishwa Msalaba mkubwa wa Kulipia kodi kila huduma tunayoifanya hasa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.