Yes, i wanted to say that, game ya hela bana ni ishu tu ya kuwa makini na kujua kuicheza. Watu wanasema ni haramu kutoa jela kwa riba, kwan kuna mtu anamnyang'anya mtu hela si anachukua kwa hiari yake na shida zake? Benki zote zinapata faida kwa biashara hyo na kila anayechukua mkopo kama ana...
Kaka endelea tu kusaidia hujui tu lkn apo ulipo ulinzi wa Mungu kutokana na misaada unayotoa huenda ndo inakuepusha na mengi
Binafsi napendaga sana kama mm ndo nina mamlaka ya kutoa huduma flani basi naitoa bila urasimu, imani yangu ni kwamba kuna bahati nyingi napata naamini kwa sababu hyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.