Recent content by Mwaisaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Ishu ni kibunda tu mwanaume ukikosa confidence inapungua, huwezi kujiongopea, unaweza ukawa nacho ila unaona kabisa kwa mwanamke ulienae bado hakitoshi ila anahisi unauwezo hapo ndio kipengele, anakuamini alaf wewe hujiamini.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutokuwa na hela ndio inafanya mwanaume atembee na pisi mbovu!

    Saiz una miaka mingapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mikopo ya Mitandaoni (kausha damu) bado ipo!!

    Natumai waliamua kutuma meseji hizo za vitisho na kukuchafua kwa watu waliopo kwenye sim yako ndani ya siku hio hio moja 😄
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ha ha sikumbuki jina, ukinipa sifa zake naweza jua ni yeye au sio
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Inaendelea... Sasa tunatoka nikamshikishisha tishu ikiwa imeandikwa namba vizuri na kubanwa na 10k kwa styl kama namsalim chap nikamwambia vocha hio utanichek Basi tukasepa mi na mdogoangu kuelekea zetu mitaa ya Nyegez stand kujiegesha maana haikua kulala tena coz ilikua tyr saa kumi na dk...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimemiss kuwaletea visa vya kimasihara, kimasihara inaweza kua umedhamiria ila ndio kiutani tu ikubali sawa, ikatae sawa sio issue Sasa hii ilikua Mwanza nakumbuka niko kule kule kikazi nikiwa katika mradi flan ktk wizara flan iliotupa tenda ya kama mwaka iliofanya nipange kabisa karibu na site...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ha ha siijui hata,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ya Kibondo sasa kabla hatujafika Kigoma mjini hii nililiwa kimasihara sijui na pisi pia nafkiri Kama kawaida alasiri flan tumeingia Kibondo chek lodge ni mji flan hatukua na kazi kubwa so mapema tu tumekaa jua halijaza kazi ya kufanya hatuna pa kwenda hamna bado ilikua week end Lodge pale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakumbuka mbili za kimasihara tulipokua mkoa wa kigoma mwaka 2015 au 6 Nikiwa na boss mmoja wa masoko wa kampuni flan kubwa ya telecom Tz ziara yetu mikoa ya kanda ya ziwa na wilaya zake Katika ziara hio nakumbuka tulitembelea Kigoma na wilaya zake kadhaa ila kimasihara ilikua Kigoma mjini na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nnahisi nimerogwa!

    Pole sana, Ila hio situation ni kawaida mzee, alaf usijeweke sana kwenye mazingira ya kua huna mapungufu, kubali una mapungufu mengi tu yan amini pia hata kupunguzwa kazini sio kua umeonewa ilitokea kwa sababu, Kubali hujakamilika uku ukilia na Mungu uku ukijitahidi kujirekebisha ipo nana ila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Maelekezo Mwanza mzee naomba inbobo, niko Cask now
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ha hah kwani mtu mzima huanzia umri gani? Nkajua 18 shekhe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni kutokuelewa mzee, nakaa kwenye apartment iliyo ndani ya jengo la ghorofa 8 kuna apartment 16 humo ndani, kuna wengi wanajua naishi hapo lakin hawajui nakaa hata floor gani, wanajua mageti yote ila hawajui nakaa apartment ipi, ni mgeni ndani ila nje anajua jengo kwa nje vizuri tu maana kunyoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kimasihara yangu ingine nayo ni wiki iliopita pia... Ilikua usiku kama saa moja mbili nkapokea sim kwa jamaa yangu jirani aliyeenda safari kua nimsaidie mkewe aliye mjamzito kapatwa na uchungu na mda wa kujifungua ni kama tayari Basi chap haraka nikafika kwa bi dada yan shem alipo tukiwa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😅😅😅 baharia kwenye heka
Back
Top Bottom