Recent content by mwai1979

  1. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

    Nimetuma screenshot ya find my iPhone
  2. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

  3. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

    Nimetuma attachment Screenshot ya App Store
  4. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

  5. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

    Musoma ndugu yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

    Ahsante. Kwa mfano nilidownload facebook app yenye ukubwa wa mb 70.,nikaisave kwenye phone memory,cha ajabu ikatumia ukubwa wa 70gb badala ya 70mb, hii ni kwa chochote ninacho kisave kikiwa na mb kinachukua ukubwa wa GB. Baada ya kusave 70mb nilotegemea ni kubaki na zaidi ya GB 249,badala yake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania IPhone 7+

    Msaada kuhusu iPhone 7+ Kwa anaejua iPhone vyema ,simu yangu ina 250gb,tatizo langu ni kwamba nikisave chochote chenye ukubwa wa mb kwenye simu kinachukua space Kama GB. Kama kuna mwenye kujua nn cha kufanya ili iweze kusave Kama mb. Naimani nimeeleweka. Naombeni Masada tafadha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    niko kata ya moshono, shule ya msingi moshono, hali ni shwali kabisa watu wamejitokeza kwa wingi na foleni ni ndefu sana, hapa kuna vituo sita na vyote watu wanaendelea kuchinja kwa utulivu kabisa,kwa kweli watu wana hamasa kubwa sana, amani hii iliyopo idumu hata mwisho wa zoezi hili, Ameeen!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaowasha full light barabarani usiku

    sheria ya usalama barabara no.30 ya mwaka 1973 na marekebisho yake no 16 ya 1996 sehemu ya 39 kifungu cha 39c kifungu cha 5 inasema: dipped (beam) itaruhusiwa kwenye (a) mitaa ya watu wengi na zipo taa za kandokando mwa barabara, (b) iwapo anamkaribia mwenzake ili wapishane vizuri (c) iwapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Mita za Umeme zilizopo juu ya nguzo

    Tanesco walishafika mara tatu na hakuna tofauti,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Mita za Umeme zilizopo juu ya nguzo

    Ahsante sana mtanzania mwenzangu,kwa kweli hii kitu inanichefua roho sana,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Mita za Umeme zilizopo juu ya nguzo

    ahsanteni wote kwa michango yenu, kwa kifupi nimegundua kwamba hiz mita ni shida,hazikutengenezwa kwa matumizi ya huku kwetu ambako umeme mara nyingi ni chini ya 220v-240v
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Mita za Umeme zilizopo juu ya nguzo

    Hili tatizo ni kwangu tu au ni kwa wote wenye hizi mita na je kuna namna yoyote ya kumaliza hili tatizo?Ni hivi mita yangu mara kwa mara imekuwa na kawaida ya kuzima umeme wakati majirani zangu pande zote wana enjoy na umeme. Nilitoa taarifa TANESCO wakaja wakafanya yao, ila hadi sasa tatizo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TCRA tuelezeni wateja wa M-Pesa/Tigopesa wanapofariki warithi wanapataje haki zao?

    wanagawana wafanyakazi wote,
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    huku Arusha Moshono wameshachukua umeme wao tokea saa nane kamili,
Back
Top Bottom