wakulaumiwa ni Nyerere? kwa lipi mkuu? hebu mwache mzee. swli la muhimu hpa ni lini wametambua mamalaka ya nchi kua part ya familia? leo baada ya kukatwa? hawa hawana lingine mkuu walikua pale kwa maslahi yao baada ya kuona hawatimiz matakwa yao ndo wanaondoka mdogmdogo kutafuta opportunity kwingine
lisemwalo lipo mkuu watu wamekosa opportunty na waona jua linazama unafkiri wafanye nini? watu wanakua wazalendo wakati wananufaika tu na mfumo wakikosa tonge lol wanatafuta ukomboz dah hua nacheka sana nkifikiria mtu amekaa kweny system mpaka akiona hatimiz matakwa yake huyooooo. tz kumbe...
lisemwalo lipo mkuu watu wamekosa opportunty na waona jua linazama unafkiri wafanye nini? watu wanakua wazalendo wakati wananufaika tu na mfumo wakikosa tonge lol wanatafuta ukomboz dah hua nacheka sana nkifikiria mtu amekaa kweny system mpaka akiona hatimiz matakwa yake huyooooo. tz kumbe...
umezungumza kweli huwa najiuliza kwa nn wanahama leo? na pia najiuliza kwa nn upinzani wanawapokea kwa haraka sana na kuwasafisha? hawa ni kambale wanajuana kwa madevu mkuu hakuna cha ulombozi wala nn. haaingii alilini mtu anakaa kweny system mpaka anaona alilolitaka halitimii ndo anaondoka. ccm...
sasa km hakuna ushahd kwa nn alijiuzulu? eti kulinda serikali wongo mtupu alisema tatzo ni uwaziri mkuu. huyo jamaa hana uungwana huo wa kujiuzulu kulinda serikali angekua nao baada ya kukatwa asingehama chama.
kichwa cha habari kingekua tumeshindwa kuiondoa ccm madarakani inatosha. eti imani potofu!!!!!!! zimetoka wapi km si kutokana na ukigeugeu wa wapinzani? leo mtu anasema hili kesho kabadilika. paragraph ya mwisho ni kumfariji mgonjwa kunywa uji hamna kitu hapo
umesema kweli tupu sijui hawa jamaa wako darasa la ngapi wanafikri ulaghai wao kila mtu anauelewa. polepole huyu huyu alikua kipenzi chao kweli wakati wa katiba ya warioba leo kusema yale anayoyaamini kua ya kweli kawa adui. double standarda mbumbumbu kweli halaf wanashupaa km nini kumbe...
kwani nini maana ya uchambuzi? kwanini akachambua yy na si ww? kuna vituo vingi vya tv tz jisikie huru kwenda kurekebisha unapoona kakosea km chanel ten huiamin. jana aliposema atakua na kipindi wengi humu walisema wanamuamini baada ya kusema yale wasiyoyaamini imekua nongwa kanunuliwa n ccm...
kwa hiyo kutokwisha kwa ufisadi baada ya yy kujiuzulu ni kigezo cha kufuta ufisadi wke? aliyempa hiyo hoja mwenyewe nafsi imemsuta kakimbia hasafishiki huyo
km mwanzilishi wa rich ni mkulu ilikuaje El akajiuzulu? basi yy atakua mwema sna.amepewa rushwa shilingi ngapi mkuu? kwanini apewe yy na si ww? kimya knasaidia kuficha ujinga kweli
kwa maana hiyo maana ya uchambuz ninini? kwanin chanel ten wakamwllika yeye na si wewe? omba na ww wakuite uende ukachambue unavyoona ww ni vizuri. yni mpo so egocentric yaani mnataka kila mtu afikir km ninyi? mbona alipokua anatetea katiba pendekezwa na warioba alikua shujaa wenu? lol vigeugeu...
kwani sisi tunafanya nini tusinunue hiyo tanzanite n kuipeleka hapo kenya tena wamasai wanakuja hapa kwa pikipiki tu. nimeuliza tathmini ya hiyo barabara na madaraja matano makubwa ambayo ni kigamboni(dar), kilombero(moro), kavuu(katavi), sibiti(singida) na lukuledi II (mtwara) sababu watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.