Recent content by Mwadunda

  1. Mwadunda

    Napitia Changamoto ya kuchukiwa na watu bila sababu

    Inaonekana unapenda sana kuwashirikisha watu mambo yako, mbaya hiyo acha mara moja
  2. Mwadunda

    Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Kilimo na ufugaji ndizo sector zinazotengeneza matajiri wengi sana siku za usoni, hivyo kama utamani kuwa salama siku za mbele jiwekee mazingira mazuri kwenye kilimo na ufagaji. Teknolojia ikusaidie kuongeza ufanisi.
  3. Mwadunda

    Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Kama ningekua wewe nikiwa 40M 1. Naonzisha biashara ndogo ya mtaji usiozidi 15M 2. Najenga boma la kawaida vyumba vitatu vya kulala, sitting room, kitchen, store lisilozidi 15M namaanisha nainua kuta, naezeka, nafunga grill, mifumo ya maji na umeme na plaster nyumba nzima. 3. 10M naipeleka UTT...
  4. Mwadunda

    Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

    Kitulo National Park iko wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na sio Mbeya.
  5. Mwadunda

    PreGE2025 Kiuhalisia hatukumuelewa Hayati Magufuli, kwa sasa hakuna namna tumuelewe Tundu lissu . Wakati wa ukombozi ni sasa

    Huyu kiumbe Tanzania anaangamizwa anawindwa sana na maharamia wengi sana ila amekua mvumilivu sana kiufupi Tanzania huna mtetezi hadi sasa bila shaka yuko njiani anakuja.
  6. Mwadunda

    Rais Samia: Kumekuwa na ongezeko la ufanisi katika matumizi ya rasilimali za serikali, mapungufu mengi yaliyotajwa na CAG ni ya miaka ya nyuma

    Hawa viongozi sijui huwa wanatokea wapi, anaewaweka na wanaomtumikia sijui nani huyu na malengo yake ni nini kwani?
  7. Mwadunda

    CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127

    ITPL, ESCROW, RICHMOND hawa jamaa kumbe bado hawajafariki tu.
  8. Mwadunda

    Kuhusu swala la umeme serikari inatuchukuliaje ?

    Uzalendo mdogo sana mambo yanafanyika kwa maslahi yao au ya wengine na sio kwa kuzingatia maslahi ya Tanzania na vizazi vijavyo.
  9. Mwadunda

    Nakuchukia Baba yangu

    Chuki hukaa kifuani mwa mpumbavu nashauri ukatae upumbavu jipe muda kaa mbali na baba yako kama yeye alivyoamua kataa umasikini na ujinga miaka kumi baadae au zaidi utakuja kumuelewa Baba yako kwanini aliwaacha na hapo ndipo utakapoanza kumpenda na kumheshimu na mafanikio yako yataanzia hapo.
  10. Mwadunda

    Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Anawajua waliowake kama wewe ni Mwana wa Mungu huna muda mrefu utarudi mwenyewe.
  11. Mwadunda

    Mwanamke hawezi kukuheshimu kama hakuogopi

    "Unastahili amani na heshima" nimechukua hiyo
  12. Mwadunda

    Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Tatizo sio sheria za nchi bali tunakosa viongozi wazalendo.
Back
Top Bottom