Namkabili bila wasi wala woga wewe mama samia2025 uliozungumza inadhihirisha dhahiri shahiri kuwa wewe na chama chako ni wapuuzi wasio na maono kabisa mnashusha bendera ya Taifa letu nusu mlingoti kumlilia bibi wa kikoloni mwafanya hayo KWA kihoro cha madeni mliyokopa na kujigeuza mbwa wa...
Wala sio hatari KWA afya vijana waliacha kupayuka siasa wakafocus kwenye maendeleo. Hata hivyo sina chuki binafsi mimi nazungumzia vijana wanavyojihusisha na mambo yanayowaletea faida kidogo mf Na kuacha mambo muhimu KWA mustakabali wa maisha yao
Salaam zenu na kongole nyingi kwa wana nasaba ya Afrika.
Ni mimi mzalendo
Taarifa yangu inalenga shabaha kwa VIJANA wa Kitanzania. Nimesoma vijarida vingi vidogovidogo vya Shujaaz mwandishi akiwa Dj Tee nikaona mambo mengi sana kuhusu vijana ingawa bado kuna mambo mengi vijana hawayajui walau...
Koma kusema hivyo. Takataka mwenyewe! mtu aliyetututea wanyonge unamwita takataka nenda mkacheze movie marekani huko usituletee tamthilia wazee wa hapa kazi tu!
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Nchi haiendi mbele kwa mwendo wa pole nguvu inahitajika kama kuna vithibitisho vya magu kuwa fashisti waviweke hadharani
Kwa matrioni ya madeni nchi inayoingiza sasa mradi wa bagamoyo na uzandiki wake .wenye mimba twende shule. Kufunga sabaya na makonda jela mbona haya hamtaki yasemwe
Slaa big up
Ninachotaka kusema magufuli alitumia nguvu kwa aina yake na ufundi wake kuiletea maendeleo nchi yake na kuwalinda watu wake kisawasawa .
Huwezi kushindana na mtu mkali kwa kumfanya ajione yeye anaogopwa huwezi kumtoa siafu kwenye ngozi kwa kusema ondoka lazima umng'oe huwezi kuacha dhambi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.