Recent content by Mwadau

  1. M

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Kweli aisee bila policcm wasingekuwapo madarakani hawa magamba.
  2. M

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Acha umbea maisha ya mtu yanakuhusu nini? Hata bibilia inasema mwanaume atamtunza mke na mke atamtunza mwanaume, Naona sasa hapi ndipo kawivu kalipo kuingia.
  3. M

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Endelezeni harakati vijijini kwa nguvu kubwa muda mliyobaki nao ni muda mchache sana
  4. M

    Mh.Zitto jiandae kuwa M/kiti wa CHADEMA uokoe Jahazi

    Du.. bado unandoto za kurudi chadema? Katiba ya chadema siunaijua? Ukipeleka kesi mahakamani kuwa ni kitu gani kinafuata? Omba mungu uwepo wa mahakama za ccm, vinginevyo kwasasa ungekuwa ni raia wa kawaida tu.
  5. M

    CHADEMA yaikaba Kooni CCM Temeke, Kigaila na Kileo wawaongoza Mamia Kudai Serikali tatu.

    Huyo kamanda anawatosha sana naona mnahaha sana.
  6. M

    CHADEMA yaikaba Kooni CCM Temeke, Kigaila na Kileo wawaongoza Mamia Kudai Serikali tatu.

    Dogo kawa kamata anashusha nondo za uhakika,ccm mkimsikia mnatamani Aridhi ipasuke muingie.
  7. M

    Rais Kikwete kutua Akaribishwa Mwanga kutimiza ahadi zake

    Buk7 siku wasikupotezee muda, washushie mawe watakaa kimya.
  8. M

    CCM Arusha ikiongeza bidii kidogo inarudisha jimbo 2015

    Hebu tueleze majukumu ya Mbunge kabla ya hizi ngonjera zako. Magambaz mtajuta kumfahamu Lema.
  9. M

    Ndessamburo, Kilewo na Jaffari kuanza ziara Kilimanjaro kwa chopa kesho

    Pare Land leo inaenda kuwekwa sawa,Magamba mpo?
  10. M

    Novatus Makunga: Ni mawazo yangu,si lazima kila mtu hayakubali, ninachoangalia ni maslahi mapana

    Sioni dhambi kwa waliyoanzisha mjadala wa kutokununua kazi zao, Hata huko India ilikuwa hivyo kipindi walichokuwa wanataka uhuru wao. kwa hapa Tanzania adui wa maendeleo wa Taifa hili ni ccm, na kama wewe ni mwanachama waccm ni lazima uwe adui kwa wataka mabadiliko na kama njia sahihi ni...
  11. M

    Mwenye wasifu wa Henry Kilewo atuwekee hapa

    Ni heri umewaeleza vizuri hawo magamba wenzako, ccm inashindwa na chadema kwa mbinu kwakuwa waliyopo ccm wapo kwaajili ya matumbo yao nasiyo kuisaidia ccm. Endelea kuwaamsha huenda wakaamka ila aidhani kama mfu anaweza kuwa hai.
  12. M

    Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Tulia wewe kubwa jinga ungesikia hutuba ya kamanda kilewo ungejiona m.c.h.u.m.b.a sana kuongea upuuzi hapa... kubwa.. j.i.n.g.a kama wewe.. hongera Kilewo wewe ni level zingine...
  13. M

    Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Kiukweli nilikuwa sijui uwezo wa kamanda kilewo wa kujenga hoja nilikuwa mshabiki tu... ila leo nemkubali dogo anaonge kwa mamlaka na anajua kujenga hoja sijawahi ona na hoja hizo zilikuwa zinajengwa na akina steve biko,martin luther nk.. na amewatimia watu hawo kwenye mkutano wake, hongera sana...
  14. M

    Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Mgombea wa chadema 2010... anasema amewachukulia hatua viongozi kadhaa wa serikali akiwamo mkt wa mtaa gongo la ndege na mtendaji kwa kuuza maeneo yawazi .. na tayari mtendaji wa kata amekwisha ondolewa
  15. M

    Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Kwasasa anaongea Richard aliyekuwa mgombea wa chadema 2010 nafasi ya udiwani
Back
Top Bottom