Hii ni kwa maslahi ya nchi yao kusema ilivyokuwa na hawa ndio wazalendo wa ukweli... Kuna sir I za kuficha ila sio hii ya kutudanganya wananchi tuelewe uongo..mungu ana makusudi kwa nchi hii na naamin tutajua mengi zaidi ya hili kwan Tz hii siyo ya kizaman we need development na c vinginevyo...
El ni jembe kwan aliweka wazi kuhusu ....mond na muelewa kaelewa ccm walimsema sana ni fisadi mbona hilo hawalizungumzii? Laana zinawageukia waropokaji wanakamatwa na kuhojiwa na TAKUKURU... Cjui tuwaiteje hawa.. Wanaudhi hawa...
Ukiwa msaliti ndani ya chama ni kufukuza tu hakuna namna nyingine.. Kwani mjue chadema so ccm was kuwabeba wavunja taratibu ndani ya chama..achana na m4c bhana..
Vifaa vya stationari;
*Computer mbili zenye uwezo mkubwa
*Photocopy mashine moja
*photo printer 1
*safari moderm 1
*heavy duty stapler 1
Kama kuna sehem vpo nijulishe model na bei inbox.. Niko SIMIYU ila iwe mwanza Caz Dar najua how to get them..
Sio kupoteza mda... Humu ndio pa kujulia habari.. Kama status inakuboa ipotezee sio lazima kukoment... Wengne hatuna vyama Caz chama hakitanipa chakula kamwe.. We mid to know what's going on
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.