Swali langu ni kwa nini ukubali pesa yenye mgogoro upande mmoja ukijua kuwa hawa watu hawajakubaliana yaani Iptl na TANESCO. Lingine nani alishauri kuanzishwa escrow a/c kwa maelezo ya rais baraza lake la mawaziri walikuwa wanajua kuhusu jambo hili
Tibaijuka maneno yake yamemponza awa kafara.swala la Escrow ni mtandao na wizi wa kimaandishi.ununue umeme tena ulipe na gharama za kuifanya kampuni inayokuuzia kwa lugha ya gharama za uekezaji.
Hii asilimia 14 anaiptata kutokana na takwimu za vijijini.mfano Arusha chadema kutoka mitaa 7 mpaka 75. Hii ni sawa na ushindi. Kuna Mbeya pia Mwanza. Ukumbuke idadi ya wapiga kura kwa mtaa vijijini ni tofauti na mjini. Sasa tunaenda kwenye uchaguzuzi mkuu ambapo vijana wote ambao toka 2010...
Hata ukiwa msafi namna gani mfumo wa ccm ni kama tope ukitumbukia utafuka tu.
Hivyo dawa ni kukiondoa madarakani ili kijirekebishe.unakuta mtu alikuwa safi akiingizwa tu kwenye mfumo wao anafuka.
Na wawe tayari maana toka 2010 mpaka 2015 kuna vijana ambao wametimiza umri wa kupiga kura ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.