Recent content by mvuye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Playstation 3

    toa namba yako kijana au nicheck 0717924625 kama unatoa service ya ku hack 4.25 firmware
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ps3 slime iwe hacked/jairbreaked

    Wadau natafuta ps3 slime ambayo tayari iko hacked/jairbreak mwenye nayo tuwasiliane 0717924625
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    ukisaliti hufai tena,sio kule kwa ss... ambako ukiharibu unalidwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ps3 Inauzwa Bei Powear!

    mdau bado unafanya biashara ya ps3,nicheki 0717924625 nahitaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    hao jamaa wabishi mi nina 4.25 firmware ni ngumu ku i hack bila E flash, wanabisha bila kufanya utafiti,nipe mawasiliano yako mdau,emmanuelmvunye@yahoo.com au nichek 0717924625
  6. M

    JamiiForums Tanzania HELP PS3 version 4.25 JAIL BREAK

    downgrade to 3.55 cfw the jairbreak from there ila 4.25 bado utata
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ungeuaje soo hili!

    naomba copy za magazeti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sony Announces New Slimmer and Lighter PlayStation 3.

    njiwa wapi umenunua huu mzigo tuelekezane
  9. M

    JamiiForums Tanzania Help: Ps2 disk read error!

    hizo huwa zinazingua usitumie cd,weka game kwenye flash then tumia flash sio cd
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ps3 games

    wakuu mnaweza nicheck kwa email:emmanuelmvunye@yahoo.com, pia unaweza suggest collection yako nitacheck bei ,usafiri na ushuru then nitakujulisha,mi napatikana dar,maeneo y kawe nina goili la playstation 3,hizo blue ray dvd za game ninazo na nina connection ya kuagiza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ps3 games

    Tuwasiliane kwa sasa nina game zifuatazo ila ukihitaji zaidi unaweza specify nikakuletea zinatoka uk fifa 2013 Tsh 160000 bland new released on 28 september gta 4 50000 avata 40000 call of...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Playstation 3 zina soko huku Tanazania?

    ukifika nicheck kwenye e mail kwa bei hiyo haiumizi ila iwe slim any 160gb au 320gb isiwe fat; emmanuelmvunye@yahoo.com
  13. M

    JamiiForums Tanzania Playstation 3 zina soko huku Tanazania?

    wadau nina collection za game za ps3 na xbox 360 zile top game,tatito ni console yangu ps3 fat model imezingua tatizo liitwalo yload linalosababishwa na motherboard kupata joto,kama ukihitaji blu-ray dvd game za sony ps3 nichek pia xbox 360, HIYO SLIM NAIHITAJI FASTA KAMA IPO NIMEFUNGA GOLI...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Playstation 3 zina soko huku Tanazania?

    mdau huo mzigo upo hapo tuwasiliane,
Back
Top Bottom