Recent content by Mvuvi wa Ngadu

  1. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani watahadharisha kutokea kwa mashambulizi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam

    Interijensia ya jeshi la polisi iko wapi?au wao interejensia ni kwa vyama vya upinzani pekee
  2. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tujadili kwa manufaa ya Taifa: Uchaguzi 2020 twende na Nani na kwanini?

    Lipi la maana alilofanya Magufuli?
  3. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Magufuli waanikwa wazi wazi

    Huyo ni mwizi hilo linajulikana kisha anajifanya mzalendo uchwara
  4. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania MAGU, MWANZA: Wananchi walalamika njaa, Rais Magufuli awajibu "Mnataka nije niwapikie?"

    Kweli hapo hakuna Njaa hao walimdhihaki na yeye akawadhihaki, wangekuwa Na njaa hata hiyo oyeeee! Usingeisikia
  5. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Ajali: Ndege ya Air Excel yanguka eneo la Sasakwa abiria wapona Pilot apata madhara

    Sasakwa iko Natta Mugumu Serengeti Mara huko ndiko alikofia marehemu Faru John
  6. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Ajali: Ndege ya Air Excel yanguka eneo la Sasakwa abiria wapona Pilot apata madhara

    Sasakwa V.i.p lodge ni Mali Ya mmarekani haihusiani na Tanapa kabisa
  7. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Nimekosa mwanaume 'serious'

    Miaka 35 umebakiza miaka kumi tu pole sana dada
  8. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi, mbunge Lema arudishwa rumande

    Mahakama za Tanzania zinapokea maagizo toka juu
  9. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

    Wasukuma hawanaga utani na wahaya, pia wanakagera nao walinishangaza walipoitikia oyeeeee, ujinga mwisho kagera Tarime Mara pangechimbika
  10. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Jinsi kampuni za bia zilivyobadili gia angani

    Pombe ipi?
  11. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania Kafulila: TANESCO walikuwa sahihi kutaka bei ya umeme ipande

    Huu mchezo unapangwa vizuri sana, ukiwa na akili chache huwezi kugundua kuwa hapo siasa ndio inafanya kazi, Kwa kiasi fulani kutokana na uzuzu wa watanzania wengi ,jamaa wanafanikiwa
  12. Mvuvi wa Ngadu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Rest in peace Dena
Back
Top Bottom