Recent content by mvunjamiwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wawili wa Rais Magufuli watajwa vyeti bandia

  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA mna nia ya dhati ya kupambana na CCM?

    2Kimo umeandika kuonyesha mtazamo wako kuhusu mwenendo wa CHADEMA kwa ulinganifu wa watu wenye au waliokuwa na dhamana za kiuongozi na kuonyesha ni kwa namna gani CHADEMA itaendelea kutokubalika kwa Watanzania. Nafikiri umesahau kutumia takwimu za kisiasa au matokeo ya jitihada ambazo ndicho...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Sifa kuu nne za mgombea ambaye atakuwa Rais wa nchi

    Kwa mtazamo wangu ameacha moja ambayo ni muhimu kuliko zote nayo ni awe na; 'HEKIMA'
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Alieleweka, wewe ndio hukumwelewa kwa hiyo ni tatizo lako!
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM tutakuja kulia machozi ya simba

    to late!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    Makala yako haieleweki
  7. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA mmedondosha kete muhimu ya "kupinga ufisadi", Zitto ataiokota na kuitumia

    Zito unayemzungumzia aliwahi kutamka kumkaribisha Lowasa kwamanhiyo alishaonesha nia ya kumuhitaji Lowasandani ya chama chake pengine hata kabla CDM hawajafanya hivyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sentensi 50 Bora zilizosemwa wakati wa Kumkaribisha Lowassa UKAWA

    Good art work!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Afisa utumishi Wilaya ya Ileje ni mzigo

    Hebu punguza munkari, tueleze kwa nini umefikia uamuzi wa kumuita mzigo? Kwa vyovyote atakuwa amefanya au anaendelea kufanya mambo yasiyofaa, sasa tueleze ili tujue ubaya wake ili tusaidie japo mawazo ya nini kifanyike.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

    Confidently. Habari hiyo sio ya kweli!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya Siasa za CCM Deo Filikunjombe atakatwa

    hawawezi kumkata Deo! itawagharimu sana, labda kama lengo lao liwe ni kulipoteza hilo jimbo!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanga nia hawa tu ndio wanaotaka kweli Urais

    Ni suala la muda tu, tusubiri kidogo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi kutogombea tena Ubunge jimbo la Songea Mjini

    Nimezipata hizo nyepesi nyepesi, hapo mjini songea unaonekena sio uwanja salama tena kwake kwani vipindi vyote ameshinda kwa nguvu nyingi sana. ameamua kurudi kwao japokuwa mimi sio muumini wa ukabila, ukanda au udini. Nasikia hapo anajipanga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro huku lile jimbo la mbiga...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makongoro Nyerere wapata Ajali Kasulu - Kigoma

    Yapi hayo? hebu tumegee kidogo tuhabarike!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge ndani ya mkate wa Edward N. Lowassa

    hana cha kupoteza!
Back
Top Bottom