mvunjamiwa
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 453
- 117
to late!
''Acheni wapigwe tu'' By Mizengo PindaWana CCM wenzangu,
Ni muda sasa Nimekuwa naona Kauli za kuwabeza wapinzani..Lakini hawa watu kila siku wanazidi kuungwa Mkono..
Pia Wapinzani mwaka huu wamefanukiwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha sana kupiga kura wakati sisi tuko busy na kushabikia Sinema ya kutangaza nia.
Nawaomba Tuungane kufanya kazi kwa pamoja la siyo mwaka huu tutapata kipigo cha mbwa mwizi kwenye Uchaguzi Mkuu..
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Yadumu mawazo ya Mkuu Wa Chama..
Ahsanteni
Wana CCM wenzangu,

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="align: right"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]