Recent content by MVUMBUZI

  1. MVUMBUZI

    Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

    Mfumo wa anga kwa maana ya anti- aircraft missile system lakini siyo mfumo wa kupambana na Balistic missile.. Master of Air superiority kwa maana ya nchi yenye uwezo mkubwa wa jeshi la angani bado ni Israel. Pia mfumo wa kisasa wa kupangua ballistic missile kwa kutumia battery aina ya Arrow.
  2. MVUMBUZI

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Sisi tunatumia intensive agriculture. Kilimanjaro Eneo dogo high technology then chakula kingi. Ninyi mnalima ekari 5 za maharage unavuna debe 1 tu.
  3. MVUMBUZI

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Unachoongea hapa ni pumba tu na sijajua dhamira yako ni kuelimisha au ku portray uwezo wako finyu wa kufikiri.Ninyi ambao hamzalishi mazao kwetu ndio wengi ombaomba. Inasaidia nini kuwa na mji wenye magorofa halafu mna upungufu wa chakula
  4. MVUMBUZI

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Kama fedha ipo itabidi muwalipe pamoja na riba maana kama itabidi wainngie mkataba mwaka huu 2022 bei za pembejeo zimepanda karibia mara mbili . hiyo difference inayotokana na inflation mnaifidia vipi.
  5. MVUMBUZI

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Yaani statement kama hii ni ya kisiasa mno. Hawa watu mnawasaidiaje maana nina wasiwai kama wataingia mkataba mwingine. Fedha ipo ?
  6. MVUMBUZI

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Hii haina tofauti na hosegirl kunywa maziwa ya mtoto. Serikali inatakiwa iwashughulikie viongozi wa ASA na ikiwezekana iwaondoe
  7. MVUMBUZI

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Watu binafsi wametumia mitaji yao kuzalisha lakini taasisi ya serikali inawadhulumu?
  8. MVUMBUZI

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Hii ni sabotage kufifisha juhudi za sekta binafsi kushirikiana na serikali
  9. MVUMBUZI

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Ameutaja mtandao wa kudhulumu fidia na pia ametoa email ili kutoa ufafanuzi ni vema haya yasipuuzwe
  10. MVUMBUZI

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Kinachoandikwa inaonyesha ni kweli maana huwezi kuwa na bifu na watu wote hao
  11. MVUMBUZI

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Mwendee inbox maana aliyeandika anajitambua sana soma between the line
  12. MVUMBUZI

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Kuondoa uongozi wa juu ni chachu tu ila mizizi imeachwa huku chini naomba sana vilio vya wanachi visikilizwe
  13. MVUMBUZI

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Kuna mtandao uko TANESCO uatakiwa uondolewe kabisa
  14. MVUMBUZI

    Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

    Chuo Kikuu Huria internal supervisor anakaa na kazi yako miezi 4 na External supervisor anakaa na kazi yako miezi 6
  15. MVUMBUZI

    Arusha Ushoga na Usagaji umeshamiri hadi Bar za kuuza mashoga zipo

    Eti mtu anakuja Arusha week mbili anaandika repoti chafu hivi. Mbona sisi wenyeji ndio kwanza tunapata hizi taarifa?
Back
Top Bottom