Aise umenifurahisha sn, mimi niko Ileje,lakini bado sijaanza kilimo. Kwa ss nimefuga nguruwee km 25 tu na nn shamba la karanga eka 1 tu. Mungu akinijalia nataka mwakani nianze vizuri. Naomba nikutumie kwa ushauri
Kuna wengine amabao nadhani hii page si yao, wanavamia bila kujua.Mambo ya ccm na ujasiliamali wapi na wapi. Hasira za kushindwa maish zisipitie huku.Tafuta forum inayokufaa ndugu yangu
Poleni na kazi za kila siku wana JF.
Mimi nina jogoo wa Malawi (mkolongo) weusi wanauzwa.
Ni wakubwa na wazuri kwa mbegu. Niko ILEJE, kwa atakaye hitaji basi tuwasiliane. Ni wazuri kwa ajili ya mbegu na nimewafuga kienyeji.
Ni sh. 15,000/= kwa jogoo mmoja.
0752- 345066 (...
Wadau wa JF, mimi nina mashine ya kutotolesha vifaranga. Tatizo ni jinsi ya kupata mayai. Naomba mnisaidie wapi nipate mayai yaliyolelewa kwa ajili ya kutotoleshwa. Niko Mbeya , ILEJE.
:smile-big:Yap, ufugaji wa kuku ni mzuri na unafaida sana hasa ukizingatia jinsi inavyotakiwa. Mimi sina uzoefu sana na kuku wa kisasa hususan wale wa nyama. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji hasa wale weusi wa Malawi ambao kwa huku kwetu Ileje, tunawaita MKOLONGO. Kwa ushauri wangu, ni...
POLITICS NA MAPENZI FORUMS hakuna kitu kule zaidi ya upuuzi tu. Nimefurahi sana hadi mke wangu na watoto wanapenda hii forum yetu, na kabla hawajaingia bandani lazima wakamue nn wana JF wameshauri. Na tunapokuwa sitting room tukisubili mlo wa jioni , tuna discuss yaliyojili kwa siku nzima, ikiwa...
POLITICS NA MAPENZI FORUMS hakuna kitu kule zaidi ya upuuzi tu. Nimefurahi sana hadi mke wangu na watoto wanapenda hii forum yetu, na kabla hawajaingia bandani lazima wakamue nn wana JF wameshauri. Na tunapokuwa sitting room tukisubili mlo wa jioni , tuna discuss yaliyojili kwa siku nzima, ikiwa...
WANA JF UJASIRIAMALI - BIG UP SANA. Kwa kufuatilia kwa makini shauri hizi, infact nimeweza atleast kujikongoja na nina imani lengo langu la kufiksha kuku wa kienyeji 2000 kwa kutumia huu azlishaji wa kiasili nitaweza. nilianza na kuku 31 wale wa Malawi, na hivi sasa ninao 604. Ni weusi tiii...
PIA NAPENDA KUMSHUKURU MAMA JAMES WA EXTERNAL UBUNGO KWA USHAURI WAKE KUPITIA SIMU YA MKONONI. Mama Asante sana umenipa mwanga mkubwa. Mungu akubariki katika biashara zako, AMEN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.