Recent content by Mvp23

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Mungu wa imani yako anafananaje na ana sifa zipi?

    Tutakuaminije kama ww ni illuminate na je
  2. M

    JamiiForums Tanzania NMB yaja na Pesa Fasta

    Mie nlikua nataka munisaidie jinsi ya kujitoa kwenye huduma hii maana unakopa alafu siku za kulipa unapewa kidogo kwakweli ni shida
  3. M

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    John sins haendi mbingu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe mtu anaweza akaangalia tamthilia ya kifilipino hadi akalia kama mtoto?

    Isje ikawa wewe ndo ulolia mkuu alafu wife ndo kakuhuge
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

    Hivi mbona jf imeingiliwa sana na watoto wengi kiasi hiki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha ukaacha kuvuta bangi?

    Yani kila uli Nilikua najiona kama nabii mwenye kupewa maono, kujitenga, kuwa mtu wa dini sana, kukataa madem, kurizika na maisha na mngn mengi alhamdulillah saiv nimeacha na staman kurudi tena kwenye weed japo ilikua ikinipa condidence ata ya kuongea na rais
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

    Jamii forum kumbe wtoto pia wamo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanajamvi King Kong III huko wapi

    Huyu mchizi tulishamzika kitambo kwa ajali ya gari
Back
Top Bottom