haileti maana hata kidogo mke umemuowa na umemtumia kwa miaka 50 ,umechoka nae ndo umuulize cheti cha ndoa na umwambie uhalali wa ndowa uko wapi ?si unafiki huo jamani?
jamani tuacheni unafiki usio tija na kupalilia chuki zisizo na msingi,kwani hata akionekana kwenye luninga huyo lissu ndo atazuwia usije muundo waserikali 2,serekali 2 wenyewe ni watanzania na sio vyama vya siasa .mbili zatosha tatu za nini?
asante mamana ,ila tu tatizo langu niko (kizimkazi zanzibar)na ardhi yangu ni mawe ila huwa na mwaga udongo kwanza jee green house itafaa?naje itawezekana kutest udongo ninaoutumia ,naje hizo nguzo kwetu ni rahisi mno kupatikana na tank pia ninalo la lita 100,lakini naweza kusaiwa project ya...
Kwakweli mimi nilijuwa hizo beds sana zinatengenezwa nchi za maulaya kumbe hatakwetu inawezekana ,nasema asante ameline kwa kunifumbua akili, nitaandaa na ninaimani nitafanikiwa na nitakukaribishenizanzibar (kazimkazi) kuja nitembelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.