Recent content by mvetena

  1. M

    Mnaopenda thick girls "bonge nyanya" hua mnafaidi nini?

    Kweli demu awe na mafuta ndg yangu hata Mimi demu mfupa hapana aisee siwezi hua sina hisia kabsa juu yake
  2. M

    Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

    Mwanza mwanza.
  3. M

    Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Ha ha ha du! mkuu gegeda huyo
  4. M

    Wanawake: Tabia ya kusema 'sijisiki' 'nimechoka' kufanya mapenzi ndiyo sababu waume zenu wanachepuka

    Hiyo ni kweli kikubwa ni papauchi tu kupikiwa,kufuliwa, hakuna inshu in ziada tu.wanawakeeeeeeee.....!mjiongeze vinginevyo mtaongezewa.
  5. M

    Baada ya kupima UKIMWI leo

    Kwa kua umefanyiwa tohara pia hiyo imekusaidia ndg yangu ila usirudie kukata mkia wa simba ukajua kafa kumbe amelala tu.
  6. M

    Clouds Media Group siku nyingine mkitaka kuzileta Bendi za Kongo muwe mnatuuliza wenye mziki wetu

    Kwei kwei mkulu iko unajua JB iko mubiyee sana inajua rumba kama batu ba Congo iko tunamkubali,
  7. M

    Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Lakini si imeandikwa utazaa kwa uchungu pia nani alikuambia ule lile tunda.?
Back
Top Bottom