NI MUDA MREFU UMEPITA TANGU SERIKALI YA TANZANIA KWA USIMAMIZI WA NCHIMBI IKIFANYA MAMBO YALIYO KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU WATANZANIA WENGI WAMELIA SANA JUU YA HUJUMA HIZO LAKINI KAULI YA SERIKALI KUPITIA KWA WAZIRI NCHIMBI IMEKUWA YA KUKATISHA WANANCHI TAMAA LAKINI WANANCHI HAWAKUKATA TAMAA...
cris nawashangaa sana kiona makosa ya mbowe lakini yeni hamuyaoni nisaidie majibu kwa mambo haya
1. jk ana uhusiano gani na ray c
2. mwigulu alifumaniwa akifanya nini kule igunga?
3. kapuya amemfanyaje yule bint yatima?
Ukishajibu hayo niambie nini chaajabu alichofanya mbowe hata...
mbunge wangu sitaki hata kusikia jina lake maana tangu tumchgue amekuwa na kazi ya kuitetea serikali tu hajawahi hata siku moja kututetea sisi tuliomchagua. Halifu mbaya zaidi hata akitokea mbunge mwingine akatutetea yeye husimama na kuomba mwongozo na kuomba hoja ya mtetezi huyo iondolewe huwa...
unasikitisha sana yaani unataka kugeuza mkakati wenu wa ma mm m1 m2 m3 kuwa ni mkakati wa cdm?nahisi umeanza kuchanganyikiwa waombe mm wenzako wakusaidie ile milioni mbili uendelee kuzungusha hadi mtakapoanzasha chama chenu.
Nimesikitishwa na kauli zinazozungumzwa hapa jf kuwa mbowe ni kiongizi asie na maadili eti kwasababu anaisaliti ndoa yake. Hivi ni mbowe tu anaesaliti ndoa yake? Kwa ufahamu wangu nakumbuka mwigulu alifumaniwa kule iginga akiwa na mke wa mtu je yeye hakuwa na ndoa? Tuangalie swala la kapuya na...
nakusikitikia kwasababu ushabiki umekuathiri,kwahiyo swala la watu kupoteza maisha pale soweto wewe umelifananisha na mtu kwenda chooni?mungu akusamehe hujitambui
Nasikitishwa na kauli iliyotolewa na nchimbi kuwa hakuna tume huru itakayoundwa kuchunguza mlipuko wa bomu la soweto arusha . Kauli hii ilinifanya niamini kuwa kunakitu serikali inakijua kuhusiana na mlipuko ule .ukusikia nchi za wenzetu wanavyopambana kulinda raiya wake utafadhaika sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.